UAMSHO wakisema hawataki muungano wanafunguliwa kesi za kuhatarisha usalama wa nchi! Mchungaji akisema, serikali inapiga makofi. Kweli mfumo kristo unafanya kazi yake mchana kweupe ndani ya serikali.
Mkuu pole sana, ungetumia busara japo kidogo tu ungemuelwa Mch. Gwajima anamaanisha nini. Lakini kwa kuwa mawazo yako yamejikiti katika majina ya watoa matamko ili kuhalalisha udini uliomo katika fikra zako, kamwe hutaelewa. Ndiyo maana wahenga walisema "asiyejua maana, haambiwi maana".