Mwana wa Nuru
JF-Expert Member
- Dec 3, 2012
- 590
- 415
"Kipande cha nchi Chenye idadi ya wakaazi Milioni Moja Tu Kinaungana na Kipande kikubwa cha nchi chenye zaidi ya watu zaidi ya Milioni arobaini na Tatu, halafu vipande hivi viwili vinakuwa na Nguvu sawa kwenye Kuunda Hatma ya Nchi (Katiba), Huu ni Uchizi.. "Mch Gwajima, Sunday speech Leo.Na ni uzuzu mkubwa kuwapa wachache nguvu ya kutunga sheria na kuamua mambo ambayo utekelezaji wake huwaathiri waliowengi tu na kuwaacha hao wachache wajiamlie mambo yao na kuwa na utawala wao.