engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
wewe unaongelea mifano ya baba na binadamu,mimi naongelea kitu kinaitwa MKATABA,na ndio maana hata matatizo ya mipaka na malawi watu wanaongelea MKATABA,ktk maswala ya madini watu wanaongelea MIKATABA,hata zile pesa nyingi walizo daiwa Tanesco ni kuhusu kukwepa MIKATABA.Mhandisi wangu
Nchi hii Hakuna mwenye hati miliki nayo, ni Mali yetu sote, hakuna mwenye maamuzi ya nchi kwamba Yeye ni mnene zaidi Kwenye hatma Za Utanzania Na wengine followers, Hakuna kizazi kilichobatizwa haki ya kuimiliki nchi, NCHI NI YETU SOTE, so siwezi kaa Kwenye Nyumba mbovu ikaniangukia siku moja ya mvua eti Kwa sababu ya makosa ya ujenzi wa baba yangu mzazi. No no no..!! Baba yangu ni Mwanadam, SIO Mungu, alikosea tu Kama mwanadam wa kawaida akaweka mfumbati Kwenye kiuno Cha nyumba Na wakati ule wake was fine alijua kuucontroo mfumbati wake but he pass away. Mfumbati wake umeoza, nyumba inaslide sasa, eti tuache mpaka tuangukiwe Na Jengo Kwa Sababu 'baba alikosea kujenga??' shit hii ni zaidi ya mawazo hatari zaidi. Makosa yalitendeka embu tuyarekebishe sasa.. Muungano ulikuwa Na Hira nyingi Na wasiwaSi wa vamizi Za kikoloni Leo hii ni ndoto kuongelea Kwamba mwarabu atavamia ZANZIBAR .. Tuacheni kikariri mambo jamani
Kiongozi MKATABA unalindwa na zipo sheria za kimataifa na ukienda kinyume na mikataba hiyo itatatuliwa ktk mahakama.sasa basi,kuhusu muungano wetu kuna makubaliano na hatuwezi tu kupiga kelele bila hata kwanza kuondoa makubaliano hayo ili baadae yasije kutufunga.huu muungano ni lazima una MKATABA sasa huo mkataba upo wapi?