UCHIZI katika Nchi: Kauli ya Mch. Gwajima...

UCHIZI katika Nchi: Kauli ya Mch. Gwajima...

William unasema makanisa uchwara ?
Baba yangu anakimbiza ujumbe wa Membe kwa yule Baba Paroko wa kuleeee mahala ili aweze kumvaa Kardinali Pengo ili ampigie chapuo Membe .Na gari kapewa kumpelekea unataka tumwagike na data hapa ? Leo unasemaje makanisa uchwara ?Mbona Lowasa anayatumia kujiweka sawa si makanisa ? Au baba yako alipoenda kuitwa J4 kwa jina la madaraka haikuwa dini ? Unajua CCM mnachekesha sana .Mmeanzisha wenyewe sasa mnaweweseka tutawafuta hukohuko makanisani na misikitini we know your ways hakuna siri siku hizi .Mwambie baba yake tunajua anacho fanya juu ya Membe na kanisa katoliki .It is matter of time tutafunguka hapa hapa.We are watching you
 
Chuja mawazo yako, acha kuongea mawazo ghafi...In no time utasema kuwa...kwenda shule (kuelimika), kukalia makochi, women rights, human rights, kuvaa nguo za ndani n.k vyote ni mfumo Kristo.

Hayo ni ya kwako mazee sijasema hivyo. Siasa iachiwe wanasiasa na wachungaji wapiganie maadili mema katika jamii.
 
William unasema makanisa uchwara ?
Baba yangu anakimbiza ujumbe wa Membe kwa yule Baba Paroko wa kuleeee mahala ili aweze kumvaa Kardinali Pengo ili ampigie chapuo Membe .Na gari kapewa kumpelekea unataka tumwagike na data hapa ? Leo unasemaje makanisa uchwara ?Mbona Lowasa anayatumia kujiweka sawa si makanisa ? Au baba yako alipoenda kuitwa J4 kwa jina la madaraka haikuwa dini ? Unajua CCM mnachekesha sana .Mmeanzisha wenyewe sasa mnaweweseka tutawafuta hukohuko makanisani na misikitini we know your ways hakuna siri siku hizi .Mwambie baba yake tunajua anacho fanya juu ya Membe na kanisa katoliki .It is matter of time tutafunguka hapa hapa.We are watching you

- Kuna wakati ulikuwa my friend ila nilishakudharau long time ninakufuta so siwezi hata kukujibu ni waste of my super time, siku njema sana bro!!

le mutuz
 
Willy ..
Watu wengi huwa wanatupia vimaneno Kwenye comment zako Kama Kubwa Jinga, weruweru, mwaibisha baba yake, bonge zero Na mengi ambayo Mimi siwezi kuadjoin sentensia zao kuzikubalia au kuzikataa lakini nadhani Mimi Kwa utu wangu Na heshima nikikuita Kwa majina hayo itakuwa zaidi ya haya Kwa mzee wako tunayemuheshimu bado. Lakini nikushauri

Mch Gwajima Kwenye sentensi yake hakuongelea udini, hakuongelea makanisa Wala ukanisa, hakuongelea SADAKA Wala usadaka hoja yake ni hiyo aliyo iweka wazi, Kama unadhani hukubaliani nae Kwa upevu wa kisiasa wako au wa kuuliza kwa wakubwa zako ungekuja Na hoja kufafabua Hoja iliyobandikwa Kwa mtazamo wako nadhani ungepevukia kimawazo. Lakini mwanasiasa chipukizi Kama wewe kukurupuka kubandika bandiko Kama Hili ni haya sana Hata kwako binafsi.. Na iko siku utamface huyo Gwajima Na Sijui utaeleza Nini Kwenye bandiko lako hili.. Unazianza vibaya siasa kijana..

- Mchungaji wako ni simply mjinga na hafai hata kuwa Mchungaji, maana ya siasa hayamuhusu anatakiwa kuwa busy kutafuta wananchi na kuwapa imani ya Mungu huwezi kuwa Mchungaji Kanisani na hapo hapoa ukawa Professor wa Muungano,

- Yesu aliyajua haya mapema sana ndio maana akasema ya Kaizari Muachie Kaizari, huyu Mchungaji ni hopeless inaweza kuwa hata waumini wake ni kama yeye ama sivyo wangemfukuza, mimi ningekuwepo hapo kanisani ingekuwa ni balaa maana nisingemuacha!

- Kuhusu maisha yangu binafsi please wachana nayo maana huu mfupa umesmhinda Fisi, wamejaribu mpaka magazeti ya udaku wameshindwa, kuna we nzako hapa wamejaribu sana kunichafua wameshindwa wewe huwezi huuu ni ukuta, nina Three Combination za masomo niliyoyasoma sana kule USA, nilisomea sana Dini ya Christian, Criminology na Political Science so kwenye hii Combination kucheza na mimi kisaikolojia unajichezeaa mwenyewe, so think again kama ni worhty!!

Le Mutuz
 
HANA Kupepesa ulimi, kila kitu anakipa jina lake vilevile, chungwa linaitwa chungwa sio "kakitu katamtam hivi" pilipili anaiita pilipili na si "kajidude kakali mdomoni", Maneno yake ndio "NDIO' na sio "SIO"
Ila nadhani ile sala ya kufufua mtu ndio ilikuwa kutafuna muneno!
 
C
"Kipande cha nchi Chenye idadi ya wakaazi Milioni Moja Tu Kinaungana na Kipande kikubwa cha nchi chenye zaidi ya watu zaidi ya Milioni arobaini na Tatu, halafu vipande hivi viwili vinakuwa na Nguvu sawa kwenye Kuunda Hatma ya Nchi (Katiba), Huu ni Uchizi.. "Mch Gwajima, Sunday speech Leo.

Mchungaji umeongea neno la mwaka!!cha ajabu nasisi tunakubali tu!
 
Hayo majina ni ya kawaida sana kuitwa unapozungumzia mfumo kristo Tanzania. Kwa hiyo endelea tu. Kama chizi anaweza kutoa mchango kama wangu na mwenye akili akatoa kama wa kwako, tafsiri ya neno akili ina maana nyingine.

Unauliza mfumo kristo umeingiaje??

1) Hii habari ya kanisani lakini iko kwenye jukwaa la siasa. This means wachungaji wanachanganya dinii na siasa.

2) Uamsho au hata waislamu wa kawaida wakizungumzia siasa misikitini watu huwa mnabwatuka.

Serikali pia inawasikiliza walalamikaji kwa kuwakamata waislamu sio wachungaji kama huyu ambaye licha ya kuzungumza siasa ametukana na viongozi kabisa kwa kuwaita machizi.

3) Katika viongozi wa Uamsho waliokamatwa hakuna hata mmoja aliyefanya hayo maovu mnayoyasema.

Si siasa, si ukabila bali ni dini ndiyo itakayotugawa wa Tanzania tusipokuwa makini

acha mambo ya kihuni ndugu yangu!... Hebu jiulize kuna msikiti wowote umevunjwa na wakristo huko Zanzibar? Lakini mfumo ISLAM umesababisha makanisa kuchomwa moto Zanzibar na bar kuporwa bia. Haya huoni?!!!!!!!!.
 
UAMSHO wakisema hawataki muungano wanafunguliwa kesi za kuhatarisha usalama wa nchi! Mchungaji akisema, serikali inapiga makofi. Kweli mfumo kristo unafanya kazi yake mchana kweupe ndani ya serikali.

Tofauti ni kubwa, huyu hachomi makanisa wala matawi ya CCM na kuacha ya mkewe CUF.
 
Tofauti ni kubwa, huyu hachomi makanisa wala matawi ya CCM na kuacha ya mkewe CUF.

Sitegemei maoni tofauti sana na ya kwako kwa sababu ya mfumo uliokulea. Totauti ya UAMSHO na huyu ni dini zao. Kama unaweza rejea threads nyingi dhidi ya Uamsho, wengi walikuwa wakiuliza Uamsho imesajiliwa kufanya shughuli za dini au za kisiasa. Nawewe huenda ulikuwa miongoni mwao. The same question inabidi uliulize kwa huyu mchungaji. Kwanini anajadili siasa kanisani?
 
Bora huyu mchungaji kuliko mama Lwakatare!!! Hivi hamna namna tukamuingiza bungeni kabla ya 2015?? yaani amenifanya nimesikia kero kuuubwa kumoyo kuhusiana na huu muungano!
 
Kesho mtasikia kanisa lake limefungiwa nchini kwa kuhatalisha usalama wa taifa
 
- Huyo Mchungaji hamuwakilishi anybody zaidi yake mwenyewe, ameonyesha kwamba uwezo wake wa kufikiri unaanzia wapi na kuishia wapi, siku hizi Makanisa yamekuwa sehemu ya Biashara na kutafuta kuwa-blackmail wanasiasa wasiojitambua ndio wanahangaika kila siku Makanisani, I mean ndio maana mimi siku hizi nayaogopa sana haya Makanisa Uchwara ambayo kwa Viongozi wake kutafuta mlo yameacha mafundisho ya dini na kililia siasa kila siku!

- Waumini wa hilo Kanisa ni bure tupu na Maskini Mchungaji wao!!, kama anataka agombee uongozi wa siasa otherwise ya Kaizari amuachie Kaizari!!

- CCM OYEEE!! KIDUMU CHAMA TAWALA!!

LE MUTUZ

Ni kweli mmeachana na makanisa ndio maana baba yako akaenda kusilimishwa na kuitwa Jumanne ili apate misaada ya Wairan wakati ule alipotaka kugombea Urais kabla mwalimu hajamtoa nduki! Na hata makafara ya kutoana sadaka mnayoyafanya mbona ni udhiirisho tosha kwamba mmeachana na makanisa mkuu Kubwa Jinga!
 
Willy ..
Watu wengi huwa wanatupia vimaneno Kwenye comment zako Kama Kubwa Jinga, weruweru, mwaibisha baba yake, bonge zero Na mengi
ambayo Mimi siwezi kuadjoin sentensia zao kuzikubalia au kuzikataa lakini nadhani Mimi Kwa utu wangu Na heshima nikikuita Kwa majina hayo itakuwa zaidi ya haya Kwa mzee wako tunayemuheshimu bado. Lakini nikushauri

Mch Gwajima Kwenye sentensi yake hakuongelea udini, hakuongelea makanisa Wala ukanisa, hakuongelea SADAKA Wala usadaka hoja yake ni hiyo aliyo iweka wazi, Kama unadhani hukubaliani nae Kwa upevu wa kisiasa wako au wa kuuliza kwa wakubwa zako ungekuja Na hoja kufafabua Hoja iliyobandikwa Kwa mtazamo wako nadhani ungepevukia kimawazo. Lakini mwanasiasa chipukizi Kama wewe kukurupuka kubandika bandiko Kama Hili ni haya sana Hata kwako binafsi.. Na iko siku utamface huyo Gwajima Na Sijui utaeleza Nini Kwenye bandiko lako hili.. Unazianza vibaya siasa kijana..

Kweeeli kabisa!.. Hawajakosea hapo kwenye red!
 
Sitegemei maoni tofauti sana na ya kwako kwa sababu ya mfumo uliokulea. Totauti ya UAMSHO na huyu ni dini zao. Kama unaweza rejea threads nyingi dhidi ya Uamsho, wengi walikuwa wakiuliza Uamsho imesajiliwa kufanya shughuli za dini au za kisiasa. Nawewe huenda ulikuwa miongoni mwao. The same question inabidi uliulize kwa huyu mchungaji. Kwanini anajadili siasa kanisani?

Tatizo uamsho wengi waarabu na wanafuga midevu miingi kama osama au alqaeda
 
fikra duni hizo,pamoja na nchi kuwa na viongozi wengi ngazi za juu waislamu bado mnasema mfumo kristo sijui mnaumwa nini
UAMSHO wakisema hawataki muungano wanafunguliwa kesi za kuhatarisha usalama wa nchi! Mchungaji akisema, serikali inapiga makofi. Kweli mfumo kristo unafanya kazi yake mchana kweupe ndani ya serikali.
 
Tatizo uamsho wengi waarabu na wanafuga midevu miingi kama osama au alqaeda

Ha ha ha haaaaa 'great thinker'. Bora deni la taifa likuwe ili upate elimu, huenda payback ya deni tutaiona miaka ya usoni.

Ya kanisani yaacheni kanisani jamani, tatizo liko wapi? Vyama vya siasa tulivyonavyo vinatosha kuzungumzia muungano. Kwani huyo mchungaji hajui kwamba wachungaji wenzake na mapadri wamo kwenye vyama vya siasa tayari? Awaache hao waseme.
 
Back
Top Bottom