UCHIZI katika Nchi: Kauli ya Mch. Gwajima...

UCHIZI katika Nchi: Kauli ya Mch. Gwajima...

UAMSHO wakisema hawataki muungano wanafunguliwa kesi za kuhatarisha usalama wa nchi! Mchungaji akisema, serikali inapiga makofi. Kweli mfumo kristo unafanya kazi yake mchana kweupe ndani ya serikali.

Kwa hiyo kazi yenu ni moja kung'oa wakristo kwenye nafasi za uongozi na kuhakikisha kila chama kinasimamisha wagombea waislamu ili mjenge mfumo ISLAMU!.. Unampigia debe ZITTO ili mfumo islamu umpokee JK!
 
Ndio maana wanataka wawe huru ili wale kutokana na jasho lao na watengeneze mikakati ya maendeleo kutokana na idadi yao,sasa uhamsho au shekh Ponda wakiyatamka haya mnawaita Magaidi na wahujumu uchumi ilhali Mchungaji leo mnamuunga mkono.Nyie watu mbona hamueleweki?.

Tumeshasema sana humu, kwamba mzee mwanakijiji amewapa mbinu zote za kisheria za kujitoa kwenye muungano mnaoulalamikia kila uchao. MMJJ mpaka amechoka na sasa anawaombea dua ili mjiondoe kwenye muungano lakini wapi. Mkitumia nguvu (kama wanavyofanya uamsho) kwenye nchi inayotawaliwa kisheria lazima mkondo wa sheria ufuate kama ulivyofuata kwa sheikh farid na wenzake
 
Very well said by Pastor.
Mimi kama mtanganyika mpaka sasa sijaona faida yoyote ya muungano kwa watanganyika, muungano ni mzigo tu.

Huu sasa ni wakati muafaka kuhakikisha Tanganyika yetu inafufuliwa, tumechoka kunyonywa na huu muungano.
 
Kwa hiyo kazi yenu ni moja kung'oa wakristo kwenye nafasi za uongozi na kuhakikisha kila chama kinasimamisha wagombea waislamu ili mjenge mfumo ISLAMU!.. Unampigia debe ZITTO ili mfumo islamu umpokee JK!

TAYADI nikuombe kitu kimoja tu; jadili hoja na wala usinihusishe na chochote usichokuwa na uhakika nacho.
 
Uchizi kwangu mimi ni kufikiria ukubwa wa nchi ni idadi ya watu au ukubwa wa ardhi. Usawa katika maamzi ya kuunda katiba inabidi itokane na maridhiano ya watu woote kutokana na kile kilichopo katika katiba yenyewe na si nani alishirika katika kuitunga katiba yenyewe. Twaweza kusema idadi ya watu milioni moja ni ndogo saana kulinganisha na millioni arobaini na tatu, na kwamba haiwezekani kuwa sawa katika maamuzi juu ya katiba. Ni sawa kama maamuzi ya katiba yatatokana na wingi wa watu na isiwe kutokana na nini kilichopo katika katiba yenyewe idadi hiyo kweli haitoshi kuweka pande hizi sawa katika maamuzi.

Fikiria jamii kama Wachaga, Nyakyusa, Sukuma au Maasai waseme pia wao ni sehemu kubwa saana ya watanzania kwa hiyo inabidi wawe na maamuzi makubwa katika katiba, je unadhani sisi akina Barabaig tutakuwa na nafasi katika katiba hiyo?


Msingi wa katiba kwa upande wa Zanzibar nadhani inabidi kama pande huru iliyoamua kwa uhuru wake yenyewe kujiunga na pande nyingine huru ya Tanganyika kwa maslahi ya pande mbili. Na muungano haukuwa kwa sababu ya idadi ya watu au udogo wa nchi ila ni ukweli wa umoja wa uafrika na uanadamu kwa ujumla.

Tujaribu kueleza ni nini tunataka katika katiba yetu na si nani anhusishwe katika maamuzi ya katiba yetu
 
Ndo maana nimeandka huu kwenye thread mojawapo kwamba mwl nyerere alifanya makosa makubwa sana kuungana na hawa jamaa. Ni wachache lakini usumbufu wao ni kama usumbufu wa utitiri

Hii ni nafasi ya kipekee, waambieni wachungaji kuanzia kesho wajikite kwenye hili suala ili Muungano uvunjike. Tatizo nini?
 
wacha kutokwa na povu!!! huyo mchungaji unayetaka sheria ichukue mkondo wake ametukana dini ya mtu? au kukashifu, au umesikia akihamasisha kuwachukia waislamu? hao unaofikiri wana haki hawajawekwa lupango sababu ya kudai muungano uvunjike na zanzibar iwe na mamlaka kamili bali ni kuchochea na kuwamotivate vikundi fulani kuchoma makanisa na kukashifu dini nyingine wakijiona wao ni wasafi na wenye haki zaidi ya wengine. kwahiyo usiwe zoba fwata upepo.
]

Inawezekana nikawa Zoba nawewe Zoba square. Ushahidi wa unayoyasema huna. Kwanini maaskofu na wachungaji wanapuzungumzia hoja za kisiasa makanisani mnawasupport na kuwapigia makofi lakini mashkh wanapozungumza hivyo wanakamatwa na kuteswa bila dhamana. MFUMO KRISTO UNAZIDI KUJIDHIHIRISHA ndani ya Tanzania.
 
UAMSHO wakisema hawataki muungano wanafunguliwa kesi za kuhatarisha usalama wa nchi! Mchungaji akisema, serikali inapiga makofi. Kweli mfumo kristo unafanya kazi yake mchana kweupe ndani ya serikali.

We inaonekana unawa.zi.mu
 
Afu huyu jamaa ni mkenya. wala siyo mtanzania! napendekeza afukuzwe nchini.
 
big up mch. GWAJIMA!!! hivi tukivunja muungano kuna athari gani? huu muungano ni ndoa yenye migogoro na malalamiko yasiyoisha! by the way 'I love Tanganyika', where is our Tanganyika???
 
kweli wa tz tunamatatzo ya akili yani mtu anaongea upambavu alafu watu bado wanasapoti eti kisa aliyeongea ni mchungaji mambo ya utoaji wa maoni ktk katiba unahusiana nn na idadi ya watu? labda angesema upangaji wa bajeti ningemuelewa coz upangaji wa bajeti lazma uzngatie na idadi ya watu kwahyo yy alitaka wa znz wasitoe maoni yao? acheni kushadadia vitu visivokua na msingi mazombi nyi mchungaji binadamu tu km ww tena ww unaweza kua bora kuliko yeye
 
UAMSHO wakisema hawataki muungano wanafunguliwa kesi za kuhatarisha usalama wa nchi! Mchungaji akisema, serikali inapiga makofi. Kweli mfumo kristo unafanya kazi yake mchana kweupe ndani ya serikali.

wewe muono wako ni upi baada ya kuliona hilo swala lakusadikika kuwa kuna mfumo kristo tanzania..
 
TAYADI nikuombe kitu kimoja tu; jadili hoja na wala usinihusishe na chochote usichokuwa na uhakika nacho.


Wazo zuri sana!.. Mimi muda wote nipo mtandaoni!.. Tangu hoja ya masalia imezuka nimeona msimamo wako, si lazima nivute michango yako yote na kuileta hapa ili kukunyamazisha!... Sasa kama wewe unasimamia hoja, "mfumo kristo umekujaje?".. Na kama mnapambana kuondoa mfumo mnaosema upo, (Ingawa rais Mwislamu, makamu wa rais mwislam n.k.) mnataka muweke mfumo gani? Mbona hamsemi?!!!... Mbona hamtaji MFUMO ISLAM!... Mipango yenu siyo siri tena!....
 
Angalia msijemkawa mnatukana baba wa taifa aliyeunganisha nchi mbili hizi! Ohoo, Mwalimu Nyerere ndiye aliyeunganisha hizi nchi mbili na kwa wakati huo population ya ZNZ ilikuwa ndogo zaidi kuliko ilivyo sasa!

Muungano haukufanywa kwa kuangalia idadi ya watu bali hadhi ya nchi zilizounda muungano.
Hazijaungana kilichobadilika ni jina tu kuondoa TANGANYIKA.
 
Back
Top Bottom