UCHIZI katika Nchi: Kauli ya Mch. Gwajima...

UCHIZI katika Nchi: Kauli ya Mch. Gwajima...

Kwa hiyo kazi yenu ni moja kung'oa wakristo kwenye nafasi za uongozi na kuhakikisha kila chama kinasimamisha wagombea waislamu ili mjenge mfumo ISLAMU!.. Unampigia debe ZITTO ili mfumo islamu umpokee JK!

hawa wakristo wanachuki sana na uislam hawawezi kuwa ndugu zetu wanajifanya wao ni ndugu zetu kumbe ni unafiki
 
]

Inawezekana nikawa Zoba nawewe Zoba square. Ushahidi wa unayoyasema huna. Kwanini maaskofu na wachungaji wanapuzungumzia hoja za kisiasa makanisani mnawasupport na kuwapigia makofi lakini mashkh wanapozungumza hivyo wanakamatwa na kuteswa bila dhamana. MFUMO KRISTO UNAZIDI KUJIDHIHIRISHA ndani ya Tanzania.

Wewe hatuzungumzin kutoka hewani!.. Hakuna mchungaji anayetamka kanisani kuwa ueni waislamu!.. Lakini cha ajabu tunaona CD zenu zinazowahamasisheni ninyi muue wachungaji, mashehe na maaskofu!... UKITAKIWA USHAHIDI HUU MAHALI POPOTE NIPO TAYARI KUTOA!...
 
Yani huyu Mchungaji hamumunyi maneno namfananisha na Padre Mapunda...Big up Gwajima
 
- Huyo Mchungaji hamuwakilishi anybody zaidi yake mwenyewe, ameonyesha kwamba uwezo wake wa kufikiri unaanzia wapi na kuishia wapi, siku hizi Makanisa yamekuwa sehemu ya Biashara na kutafuta kuwa-blackmail wanasiasa wasiojitambua ndio wanahangaika kila siku Makanisani, I mean ndio maana mimi siku hizi nayaogopa sana haya Makanisa Uchwara ambayo kwa Viongozi wake kutafuta mlo yameacha mafundisho ya dini na kililia siasa kila siku!

- Waumini wa hilo Kanisa ni bure tupu na Maskini Mchungaji wao!!, kama anataka agombee uongozi wa siasa otherwise ya Kaizari amuachie Kaizari!!

- CCM OYEEE!! KIDUMU CHAMA TAWALA!!

LE MUTUZ
 
Daaa direct to point........................................
 
hawa wakristo wanachuki sana na uislam hawawezi kuwa ndugu zetu wanajifanya wao ni ndugu zetu kumbe ni unafiki

Hivi wewe unajitangaza kuwa ni BOKO HARAM, ambapo kila mtu anajua ni kikundi cha kigaidi, au na wewe ni mmoja wao?...Kazi mnayoifanya sasa ni kujenga MFUMO ISLAMU!... Mnajipanga kwa siri kuhakikisha vyama vyote vikubwa Mgombe
 
wewe muono wako ni upi baada ya kuliona hilo swala lakusadikika kuwa kuna mfumo kristo tanzania..

Hilo swala lina uhakika na viashiria vyake ni kama hivi. Bahati nzuri mleta thread ametufichulia ukweli kwamba kumbe hata makanisani huwa mnajadili siasa. Ila ni rahisi kuona misikitini kutokana na proximity ya misikitii kuliko ilivyo kwa makanisa ambayo hujengwa mbali na makazi ya watu hivyo hoja nyingi kutokusikika.

My take: Ili kuwa na jamii zenye kuheshimiana, haki na usawa ni jambo muhimu sana kuepusha vurugu.
 
Hazijaungana kilichobadilika ni jina tu kuondoa TANGANYIKA.

Sasa mchungaji analalamikia uchizi upi? Huyu mchungaji anapaswa kuhojiwa na polisi kwa kuwadhalilisha waasisi wa muungano kwa kuwaita machizi.
 
Naunga mkono hoja ya gwajima. Tena watu wenyewe hawa wabaguzi wanachoma makanisa na sasa makundi ya kigaidi yameruhusiwa kupandikiza chuki kubwa kati ya waislam na wakristo. Uamsho
 
UAMSHO wakisema hawataki muungano wanafunguliwa kesi za kuhatarisha usalama wa nchi! Mchungaji akisema, serikali inapiga makofi. Kweli mfumo kristo unafanya kazi yake mchana kweupe ndani ya serikali.

We ni mwongo na mdini!

Mfumo kristo umeingiaje hapa!

Pamoja Na hayo uamsho wamesema, wameandamana, kufanya vurugu na uharibivu. Utafananishaje uamsho na huyu Mchungaji? tumia akili.
 
Una maoni gani na alicho zungumza?

Back
Top Bottom