Uchebe: Sijampiga Shilole, picha ni za mwaka jana

kuachana na mwanaume mwenye hela halaf sio bahili kazi ngumu aisee uende kwingine ukatesekee
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Lakin ni kheri utafute zako tu
Nadhani tumeelewana sasa, kumpenda humpendi ila hela zake unazipenda. Unalalamika ananuka kwapa ila upo tu!!!🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kuna jamaa yangu mke wake alienda kusoma St. John degree in nursing science huko chuo akakutana na wadogo zake x wake ambaye walisoma wote Kazima sec Tabora. Kilichofata wadogo zake x wake wakamuunganisha na Kaka yao ambaye wakati huo alikuwa mlinzi wa pinda( waziri mkuu). Penzi likakolea mpaka mme kakamata msg. Mme alilia machozi Sana akamsamehe mkewe ambaye alieleza a to z ilivyokuwa, ikabidi mme awajulishe tunguze wanaofanya kazi(tiss) na huyo mpz wa mkewe kitu kilichopelekea mwenye mke kukutana ana kwa ana na mke wa jamaa anayetembea na mkewe. Mpaka naandika ujumbe huu wawili hawa ni wapenzi kwenye penzi zito kupita maelezo
Ngoswe penzi kitovu cha uzembe! Hapo mbwa kala mbwa 🀣🀣🀣
 
Sio sehem yenye maadili, sema sehemu yenye kuruhusu upuuzi, yani mwanamke akandamizwe apigwe ndio iwe maadili.
Wanaume wangapi wanafanya vituko na vitu vya ajabu kwa wake zao nani anawapiga.

NB: kimaumbile mwanamke ni kiumbe dhaifu,wew huwezi ukawa mwanaume unasimamisha mishipa kumpiga mwanamke, lazima utakuwa mpumbavu.
Kama ni kiumbe dhaifu asifanye upuuzi. Kuna ugumu gani wa mtu kujiheshimu ukishakuwa mke wa mtu.?
Mwanaume kama ana kulisha, kukuvisha na kukujali kuna lipi ambalo utasema anakuonea. Yani mtu akuthamini kisha umletee upimbi? Akuache tu kizembe....Mke sio hawara!
 
Kama ni kiumbe dhaifu asifanye upuuzi. Kuna ugumu gani wa mtu kujiheshimu ukishakuwa mke wa mtu.?
Mwanaume kama ana kulisha, kukuvisha na kukujali kuna lipi ambalo utasema anakuonea. Yani mtu akuthamini kisha umletee upimbi? Akuache tu kizembe....Mke sio hawara!
Mmh sasa upumbavu sio wa mwanamke tu , hata wanaume pia wanawafanyia wenzi wao upumbavu mwingi tu. Nani anawapiga ? Swala sio kufanya ama kutofanya upumbavu (huo ni utashi wa mtu binafsi ) ila Pale mwanaume anapo tumia uwanaume wake kwakua yeye ananguvu na kumpiga mwanamke hadi kumjeruhi au kumuua hapo sio sawa na huo ndio upumbavu zaid kuliko huo upambavu anao dai kufanyiwa.

kama unamlisha, kumvisha na kumjali na haonyeshi appreciation juu ya hayo yote, unatakiwa ujue kuwa hakupendi na huyo sio mtu sahihi kwao (life patner)hakuna haja ya kuendelea kumng'ang'ania mwache aende zake kwani hata ukimpiga hakuna zuri litazaliwa zaid ya shida zaid.
 
Back
Top Bottom