Uchebe: Sijampiga Shilole, picha ni za mwaka jana

Screenshot_20200711-125114.jpg
 
Dah! Masikini Uchebe kw upumbavu wa Malaya mmoja tu now unaonekana we ndo shetani.... Kweli nimeamini anaeanza haonekani ila tatzo ni kwa anaemaliza! Sema nn tatzo kitonga
 
Uchebe akihojiwa na kituo kimoja cha radio anasema picha zilizopostiwa mtandaoni ni za mwaka jana na kwamba mwaka huu hajampiga Shilole kabisa.

Anasema madai ya Shilole kupigwa siku ya sabasaba si ya kweli, kwa sababu hiyo siku Shilole hakulala nyumbani.

Ili kuthibitisha hilo amesema atafutwe akaguliwe kama ana jeraha lolote la hivi karibuni. Anadai Shilole ni mzima kabisa wa afya na hana jeraha.

Uchebe anaeleza kuwa Shilole amekuwa na desturi ya kutokulala nyumbani hata siku mbili na akirudi hataki kuulizwa alikuwa wapi? Na hio ndio "source" ya ugomvi wao wa mara kwa mara.
Nilijua huu ni uongo shilole kaona majukumu ni mengi kulea watoto na mtu mzima akaamua kutengeneza kitu ili waachane.
Wanaume fanyeni kazi acheni kulelewa na sisi
 
Umeona Mkuu na si ajabu kila akilifikiria akili inampa ushawishi wa kulipiza.

Hakika nadhani kama wanaeza wayazungumze na suluhu ipatikanage.
Unaona ni kitu kigumu kupigwa na chepesi kuachwa. Mumeo si anakupenda sana madam. Hebu jaribu kufanya alichofanya shilole kwa mumeo japo kwa weekend hii tu kisha uje ulete mrejesho. Ondoka mapema Ijumaa kisha piga kimya cha ghafla usipokee simu wala kujibu text kisha urudi J'pili jioni halafu ulete mrejesho.
 
Siezi fanya hivyo aisee.

Pia niseme msihalalishe kosa 100% huenda ni katika kujitetea tu kwa huyo mwanaume.
Sasa si mnaona ni sawa alichofanya shilole kwamba kaonewa. Halafu adhabu ya kupigwa huwa sio ngeni na inaanzaga toka utotoni! Kama ulikuwa mtukutu lazima baba au mama yako atakuwa alishawahi kukupiga huko nyuma. Mbona hamkusimama kusema Baba ananichapa!

Ila kuchapwa na mume inakuwa nongwa na umekabidhiwa kwa mume na wazazi. Lazma utii maagizo yake ili muende nae sawa otherwise upigwe tu maana hamna namna ingine.
 
Wanawake wa siku hizi mimi huwa si sympathize nao hata kidogo sababu najua the way wanapenda kumanipulate situation kupata public attention na sympathy.

Before sijaenda kwenye kesi yake na uchebe, nigusie swala na tabia za wanawake kujustfy makosa yao na vitu wanafanya halafu wanapobambwa huwa ni wepesi kutaka waonekane walisababishiwa kufanya hayo makosa.

Kwa mfano, mwanamke anaweza kutoka nje ya ndoa na mume wake anampatia kila anachoweza mudu kumpatia...... Hii ni psychological abuse and extortion kwa mwanaume na jamii inachukulia poa na kusema ndio wanawake au watatafuta gear ya kutetea kuwa mwanamke sijui anatulizwa na maneno matamu, mara sijui nini but no body pays attention kuhusu maumivu anayopokea mwanaume.

Its alike automatically wanawake wanakuwa branded innocent at any scenario.
Ndio ilivyo, yani kwamba wao hata wakikosea tuchukulie easy maana ndio wanawake.
 
Kwani si uachane nae
Nyie wanawake mnachukulia easy kuachana eh. Sidhani kama unaujua ugumu mnaopataga kuachana na jamaa mwenye hela nyingi na mhongaji mzuri japo hakuridhishi kimwili?

Ule ugumu ndio sawa na ugumu wa kumuacha mke umpendaye.
 
Unaona ni kitu kigumu kupigwa na chepesi kuachwa. Mumeo si anakupenda sana madam. Hebu jaribu kufanya alichofanya shilole kwa mumeo japo kwa weekend hii tu kisha uje ulete mrejesho. Ondoka mapema Ijumaa kisha piga kimya cha ghafla usipokee simu wala kujibu text kisha urudi J'pili jioni halafu ulete mrejesho.
Wewe unataka magazeti yawe na habari kuu ya kauawa kisa wivu wa mapenzi
 
Nyie wanawake mnachukulia easy kuachana eh. Sidhani kama unaujua ugumu mnaopataga kuachana na jamaa mwenye hela nyingi na mhongaji mzuri japo hakuridhishi kimwili?

Ule ugumu ndio sawa na ugumu wa kumuacha mke umpendaye.

kuachana na mwanaume mwenye hela halaf sio bahili kazi ngumu aisee uende kwingine ukatesekee
😂😂😂😂😂😂
Lakin ni kheri utafute zako tu
 
Back
Top Bottom