Uchebe: Sijampiga Shilole, picha ni za mwaka jana

Kumbe hata nyie wanawake mnajua kama Shishi ni GUBEGUBE liloloshindikana?
World is the full of choices, wewe kama unamuona gumegume chagua ambaye sio gumegume mtawezana.

Muache gumegume yupo gumegume mwenzie watawezana pia, na sio kumng'ang'ania gumegume ili umpige mpaka umuuwe. Siku ukimuuwa ndio utajua kuwa hata gumegume anahaki.😂
 
Si support alichokifanya Uchebe lakini pia hizi taasisi za kutetea haki za kijinsia mbona kama zina double standards! Si huyu huyu Shishi baby aliwahi kuwa anamnyanyasa Nuhu Mziwanda na hakuna hata taasisi moja niliwahi kusikia inamtetea.
 
Wengi tunampongeza sana uchebe ila Mimi sio kimoyo moyo unajua nini inafikia kipindi mauzi na dharau zinazidi na dawa pekee ya hilo ni

kipigo ..kipigo cha nguvu

trust me lazima mtu akawe sawa kwenye mstari tofauti na hapo atakuona boya .
 
World is the full of choices, wewe kama unamuona gumegume chagua ambaye sio gumegume mtawezana.

Muache gumegume yupo gumegume mwenzie watawezana pia, na sio kumng'ang'ania gumegume ili umpige mpaka umuuwe. Siku ukimuuwa ndio utajua kuwa hata gumegume anahaki.😂
Kampiga sasa mfungeni au sheria hamna?
 
Huu ni mkakati wa kuwapoteza kwenye dira kuzungumzia mambo ya maana...
Naam Vyombo vya sheria vimemchunia kama vile havijaona zile picha

Shilole alikosea kama kweli alikuwa anahitaji msaada angekwenda katika vyombo vya sheria 'kuliko kukimbilia IG kwani kule ndio vyombo husika vilipo !?
 
Muwe mnatii mamlaka iliyotoka mbinguni, mwanaume ni mamlaka iliyotoka mbinguni msipoiheshimu mtatandikwa tu kila siku maana mnaendeleza midomo
Mamlaka my foot, heshima is earned, hailazimishwi. Ukiona unalazimisha kuheshimiwa ujue huna akili.
 
Back
Top Bottom