Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,875
mbona mimi nina juu na chini na sina hata mwanaume mmoja?
Subutuuuuuu
mbona mimi nina juu na chini na sina hata mwanaume mmoja?
Mimi sina meno 2 ya mbele........nayo inachanganya.....? Nataka nichanganye jamani......
vp mwanya kwa vidume...does the thory apply?
huo tena sio mwanya ni lijipengo pole preta
Inawezekana wanawake wengi hawajui kama kuwa na Mwanya ni jambo linalowachanganya wanaume wengi sana! Kama una Mwanya jua una hazina inayotafutwa!!
Sijamkagua asee, afu hommie mnapozungumzia mwanya mwenzenu namkumbuka MwanajamiiOne, sijui kapotelea wapi siku hizi huyu mjukuu mtiifu 2012?
nilikuwa naandika lakini 'button imenigomea ngoja nitumie kisembe ''hadhina''umenielewa sasa.

hivi huo wako ni mwanya au ni pengo!!!!!!!!!!!!? kwa maana nahisi hisi na wewe umezidisha umbea
eti pengooo ha ha ha!!!!
mi siongei bana......
we mdada. Una kes za kujibu
eti pengooo ha ha ha!!!!
mi siongei bana......
Mimi sina meno 2 ya mbele........nayo inachanganya.....? Nataka nichanganye jamani......
Inachanganya kushinda hata mwanya, Upo?
nilikumiss wewe......ulikuwa wapi kila siku sikuoni......?