Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,771
kwahiyo tupite tukikenua meno ili uonekane au tuache midomo wazi,umevumbua kitu toa na prons and cons ,jinsi yakutumia reseacher ??????Kama hujui kutumia kitu hakikuletei faida yoyote ile!!
kwahiyo tupite tukikenua meno ili uonekane au tuache midomo wazi,umevumbua kitu toa na prons and cons ,jinsi yakutumia reseacher ??????Kama hujui kutumia kitu hakikuletei faida yoyote ile!!
si umesema ni haina au unadanganya.
ni kwel mwanya ni dili
Problem wengi wao wana advantage hiyo but ni wachafu(hawajipendi)lazima wafe na hazina zao.
Asnam bana.......ukisema haina namkumbuka hyena...... labda aina......
kwahiyo tupite tukikenua meno ili uonekane au tuache midomo wazi,umevumbua kitu toa na prons and cons ,jinsi yakutumia reseacher ??????
Siyo Maskhara ndiyo ukweli wenyewe!! Lakini "anything too much is harmful" kuna staili za kutumia mwanya kuleta mvuto!!
charminglady una pengo wapi????Teh.... mie nina pengo je nalo ni hazina???
Mwanya siyo pengo.charminglady una pengo wapi????
Let me know pliiiiiiiiizzzzzzzzzzzzz
she has a good smile like me.
ni kwel mwanya ni dili
Problem wengi wao wana advantage hiyo but ni wachafu(hawajipendi)lazima wafe na hazina zao.
Mwanya aka "enshanani"...!
Maandiko yanasema "...jiwekeeni hazina zenu mbinguni..." siyo kwenye ufizi....!
Kweli?