Uchawi wa Mwanya kwenye mapenzi!!

Uchawi wa Mwanya kwenye mapenzi!!

Really.ninao na siupendi cos ukicheka tu kama kuna lidume pembeni linaanza kutoa mimacho kwa mke wa mtu
 
Mimi sina meno 2 ya mbele........nayo inachanganya.....? Nataka nichanganye jamani......
 
Inawezekana wanawake wengi hawajui kama kuwa na Mwanya ni jambo linalowachanganya wanaume wengi sana! Kama una Mwanya jua una hazina inayotafutwa!!

Cc: Asnam
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana wanawake wengi hawajui kama kuwa na Mwanya ni jambo linalowachanganya wanaume wengi sana! Kama una Mwanya jua una hazina inayotafutwa!!
mbona wengine wanakufa na hazina zao tena maskini au hawajui kutumia?
 
acha umbea loh,mbona mie sitafutwi ila huwa wanatoa macho kama wamebanwa na mlango nina mpango wa kuukatia bima kama wale wanaokatia bima mawowowo yao kule Western
Bima tena!?
 
Kigaramani haina ipi hiyo na faida ipi anapata mtu mwenye huu ubarikio.
 
Last edited by a moderator:
ni kwel mwanya ni dili
Problem wengi wao wana advantage hiyo but ni wachafu(hawajipendi)lazima wafe na hazina zao.
 
Back
Top Bottom