Uchawi wa Mwanya kwenye mapenzi!!

Uchawi wa Mwanya kwenye mapenzi!!

Teh.... mie nina pengo je nalo ni hazina???

220px-Condi_rice.jpg


pengo kama la huyu?
 
ngoja nianze kusugua meno kwa mkaa na majivu ili mwanya uwe unang'aa
 
Inawezekana wanawake wengi hawajui kama kuwa na Mwanya ni jambo linalowachanganya wanaume wengi sana! Kama una Mwanya jua una hazina inayotafutwa!!

Mkuu kila mtu ana interest yake kwenye mwili wa mwenzake, sio wote wanapenda huo mwanya. Kile unachokipenda wewe waweza kuta mwenzako anakichukia, naye anachokipenda wewe unakichukia balaa.
 
Kama una mwanya na una meno ya njano yaani haupigi mswaki je hii nayo ni hazina?
 
Mh! Na je kwa WANAUME wenye MWANYA na wanawatega Wakina nani? MWANYA kwa Wabongo wataona dili lakini kuna baadhi ya nchi ukiwa na MWANYA unachekwa so wanachokifanya mtoto akizaliwa na MWANYA Huiziba mapema kabla hakua. Kuna wengi wenye MWANYA nimewaona wanaishi maisha ya shida wengi hawaolewi wanaishia kuwa single mother so Ucwadanganye dada zetu eti kwasababu wana:nono: MWANYA basi kila Mwanaume atawapenda!
 
Mwanya urembo na wapendeza zaidi kama mwenye nao ni mtu wa kuchekacheka ila mambo yote utege, mie nikimuona mwenye matege moyo wangu unaenda mbio! Mnato wake usipime..
 
Inawezekana wanawake wengi hawajui kama kuwa na Mwanya ni jambo linalowachanganya wanaume wengi sana! Kama una Mwanya jua una hazina inayotafutwa!!
mbona mimi nina juu na chini na sina hata mwanaume mmoja?
 
Jamani msichanganye mwanya na mapengo

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
mbona mimi nina juu na chini na sina hata mwanaume mmoja?
Juu na chini mwanya haupendezi. Siye ndiyo walaji jamani baada ya miguu, macho kinachofuatua kwa kumvutia mwanaume ni mwanya jamani!!
 
Back
Top Bottom