Uchawi wa Mwanya kwenye mapenzi!!

Uchawi wa Mwanya kwenye mapenzi!!

Mkuu Kigarama hata ukiwa mwanya fake nao ni poa tu? Maana siku hizi kuna baadhi wanalipa pochi nene tu ili watengezewe mwanya fake na ukikutana nao wala huwezi kuustukia.



Inawezekana wanawake wengi hawajui kama kuwa na Mwanya ni jambo linalowachanganya wanaume wengi sana! Kama una Mwanya jua una hazina inayotafutwa!!
 
Last edited by a moderator:
Size ya mwanya is direkt proportional to size ya mbunye... The big the mwanya, the big the mbunye, and the vice versa is true
 
Duh pole shost... Usijali we tupeane kampani ya usingo...
sitapenda tena humu CC aisee lakini yote hayo nililazimishwa na kaka yangy Erickb52 alikimbilia kula mahari. ila amesema hajaniacha kanipunguzia mawasiliano tu!!
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana wanawake wengi hawajui kama kuwa na Mwanya ni jambo linalowachanganya wanaume wengi sana! Kama una Mwanya jua una hazina inayotafutwa!!
nafikiri wamasai watakuw nahazina kubwa sana wanatembea nazo aisee Arushaone PakaJimmy come this way
 
Last edited by a moderator:
sitapenda tena humu CC aisee lakini yote hayo nililazimishwa na kaka yangy Erickb52 alikimbilia kula mahari.ila amesema hajaniacha kanipunguzia mawasiliano tu!!
Ndiyo ushaachwa hivyo. Kusoma hujui hata picha tu huoni?
 
sitapenda tena humu CC aisee lakini yote hayo nililazimishwa na kaka yangy Erickb52 alikimbilia kula mahari. ila amesema hajaniacha kanipunguzia mawasiliano tu!!

Dah... afadhali hajakuacha make maisha ya usingo ni magumu sanaaa
 
Last edited by a moderator:
charminglady una hakika Nivea hajaachwa? au ndiyo Women solidarity ya jana hadi leo mnapeana moyo!?
 
Last edited by a moderator:
images

Nivea huo siyo mwanya!!
 
Last edited by a moderator:
Mh nishasikia watu wenye mianya ni wambea sana, sijui ni kweli au la?

mi nimesikia kuwa wana matobo makubwa, lakini bado sija-prove, ninaendelea na uchunguzi.
 
Back
Top Bottom