Mimi sina meno 2 ya mbele........nayo inachanganya.....? Nataka nichanganye jamani......
acha umbea loh,mbona mie sitafutwi ila huwa wanatoa macho kama wamebanwa na mlango nina mpango wa kuukatia bima kama wale wanaokatia bima mawowowo yao kule Western
Basi unakasoro
Mh nishasikia watu wenye mianya ni wambea sana, sijui ni kweli au la?
charminglady una pengo wapi????
Let me know pliiiiiiiiizzzzzzzzzzzzz