Uchawi upo! Muendekeze Mungu ufe masikini

Nakazia kwa maandiko haya👇
Nyie mnaosema matatizo kayaleta Ibilisi someni hapa.
Screenshot_20230425-164558.jpg
 
Hujapungukiwa kitu sawa.
Ila duniani umeisha kama paka mweusi

Ila mashoga wenye pesa
Majambazi
Wamekula pesa na maisha matamu na Mungu hayupo.

Wewe ni mwendo wa njaaa tu
Una uhakika hao unawaona maisha yao ni matamu ni matamu kweli. Madhara ya dhambi ni mauti. Utakufa mapema ndugu.
 
Hivi Mungu mwenye huruma, mpole mkaribu mwenye kusamehe.

Ndio huyu huyu anaewapa watu maradhi makubwa ya kutisha na ulemavu wa kudumu binadamu wake?

Amekuwa katiri kiasi kwamba haoni shida watu kufa kwa njaaa maradhi na mateso makubwa hapa duniani?

Mungu huyu huyu ndio husababisha ajali kubwa kuuwa watu na kuwaacha wakiteseka?

Mungu huyu huyu ndio anawapa pesa mashoga washirikina na wachawi alafu wachamungu wanaishi kama paka?

Mungu huyu huyu ndio hutoa umasikini wa kudumu kwa watu?

Mungu aliefanya yote hayo ndio anakupenda na wewe?
Wengine hawapendi?

Uchawi upo utumie vizuri baadae rudi kwa Mungu

Jifunze kuishi kwa technique.

Kosoeni masikini wanaomtegemea Mungu kuwa matajiri wakati wapo masikini wa kudumu wenye kudumu na ibada ila wanaishi mpaka aibu.
Una ukame wa akili
 
kwa kwel MUNGU yupo ila kwa sisi wengine naona katuacha tunaugua ,tunateswa na wachawi na ibada tuna fanya lakini wapi? majalibu wengine tangu utotoni na ukubwani bado hali nitete ,huwaga na jiuliza au tulizaliwa kwa bahati mbaya? au tulimkosea? any way ni mshukuru na pumua japo tunaish kwa mateso, ila tusilaum je ambao hawaoni,watoto wadogo wanao umwa ambao hawajui dhambi nini, vi wete wanaoshinda njaa. wenye dhambi naona ndo wanakula mema ya nchi.kuna wakat hal ilizd kuwa ngumu na kutaman kujiunga na wajenz huru nikiamin nikiwa fm mchaw hato nigusa. kibaya zaid tuna teswa na ndugu zet ambao wangetusaidia.MUNGU yupo jaman ,kama uchaw upo ,majin yapo na MUNGU yupo
 
Aisee
Umeandika kwa uchungu sana boss
 
Kwani Mungu Amekuumba bure tu bila ya sababu? Lengo la Mungu kukuumba ili upate kumuabudia yeye.ndio lengo lake Hataki kitu kwako. Na Uchawi upo na ndio aliyeumba yeye na moto ipo na pepo ipo kazi kwako chagua mabaya uingie motoni chaguwa mazuri uingie peponi. Kazi kwako.
Mungu ameumba watu na vitu kwa nia ya kuupendezesha ulimwengu wake, hana shida yawew kumuabudia, ata ukimuabudia hautamuongezea upako wowote wew kwake ni kitu kidogo sana, mjitahid kusoma vizur vitabu vya dini na mvichambue vyema sio mambo ya kuchambuliwa ndio yaje yawatokee ya kibwetele na bwana Mackenzie.

baada ya kifo hakuna moto, itakuwa ni ukatili Mungu yeye mwenyewe kutuchanganya na shetani humu humu duniani ilhali anajua sisi ni viumbe dhaifu aliyetuumba kwa nyama na shetani kamuumba kwa moto kutupambanisha tupambane nae pasipo kujua ugomvi wao Mungu na shetani ulikuwa ni nini, kwanini hasingemtupia kwenye sayari zingine uko. USIRITHI ADUI WA MTU.. Achana na shetani Mungu mwenyew atadeal nae maana yey ndiye ajuaye ugomvi wao ulianzia wapi.
 
Shetani ndiye mtawala wa ulimwengu huu na ndiye chanzo cha mambo yote mabaya.

Ni maskini duniani ila kwa Yehova sisi ni matajiri.
Hazina zetu tunaweka mbinguni huko mchwa, nondo hawawezi kiziharibu. Hata wezi hawawezi kutuibia...
Kama anatawala ulimwengu unasubiri nini kumwabudu
Ngoja niwape hii
Kila unachokiogopa unakiabudu
 
Kuna mlokole pale KRC amemtapeli mke wangu na kulipa hataki kesi ipo kanisani wanamchekea tu na kuna shemasi hapohapo kamtongoza mke wangu alafu nasikia ndiyo tabia yake mtaani ila Mungu yupo.
Hivi yule aliyetengeneza meli ya Titanic alipoimaliza nasikia alisema hata Mungu hawezitengeneza meli kama hii na ilipoanza safari y kwanza nasikia haikufika
 
Acha Kufuru zako Mungu Amekamilika na sifa zako pungufu .Mungu Ametuumba na kutupa akili na Mungu ametupa mitihani kama wewe ulivyokwenda shule huw aunapewa mtihani ukifeli hauoendelee na shule ukipasi unaendelee mbele na shule masomo ya juu.Na hivyo hivyo Mungu anatupa mtihani matatizo njaa dhiki shida maradhi vifo, Umasikini uUtajiri kwakle yote hayo ni mtihani tuna angalia je tutapasi au kufeli? Tukikufuru tunaingia mpotoni tukipasi tunaingia peponi uchaguzi ni wako.Acha kufuru zako na kejeli zako Mungu amekupa akili ,mikono miwili,miguu miwili pua mdomo kichwa moyo figo bandama maini matumbo.Na Kitu kimoja kikubwa alichokupa Mungu ni hiyo uhai aka pumzi zinazo kufanya ulete kufuru na jeuri zako je unaweza kumlipa kitu gani Mungu? Fadhila zote alizokupa Mungu je unawezakulipa japo moja?Achaupumbavu wako wakukukufuru na jeuri zako usiye kuwa na fadhila kwa Muumba wa mbingu na nanchi.Utaingia motoni shauri yako.
Uyu Binti mdogo wa miaka 13 aitwae Omyra Sanchez alikwama apo kwenye kifusi ndani ya maji kwa siku tatu adi anafariki, walokolo mtasema Mungu alikuwa anamjaribu ampime imani yake. View attachment 2599693
images%20(31).jpg

View attachment 2599696
 
Hivi Mungu mwenye huruma, mpole mkaribu mwenye kusamehe.

Ndio huyu huyu anaewapa watu maradhi makubwa ya kutisha na ulemavu wa kudumu binadamu wake?

Amekuwa katiri kiasi kwamba haoni shida watu kufa kwa njaaa maradhi na mateso makubwa hapa duniani?

Mungu huyu huyu ndio husababisha ajali kubwa kuuwa watu na kuwaacha wakiteseka?

Mungu huyu huyu ndio anawapa pesa mashoga washirikina na wachawi alafu wachamungu wanaishi kama paka?

Mungu huyu huyu ndio hutoa umasikini wa kudumu kwa watu?

Mungu aliefanya yote hayo ndio anakupenda na wewe?
Wengine hawapendi?

Uchawi upo utumie vizuri baadae rudi kwa Mungu

Jifunze kuishi kwa technique.

Kosoeni masikini wanaomtegemea Mungu kuwa matajiri wakati wapo masikini wa kudumu wenye kudumu na ibada ila wanaishi mpaka aibu.
Mungu hawezi kufanya hayo.Ni mmoja tu mwenye kuyafanya hayo na kuwashawishi wanaadamu waamini yanafanywa na Mungu ili wamchukie
 
Hivi Mungu mwenye huruma, mpole mkaribu mwenye kusamehe.

Ndio huyu huyu anaewapa watu maradhi makubwa ya kutisha na ulemavu wa kudumu binadamu wake?

Amekuwa katiri kiasi kwamba haoni shida watu kufa kwa njaaa maradhi na mateso makubwa hapa duniani?

Mungu huyu huyu ndio husababisha ajali kubwa kuuwa watu na kuwaacha wakiteseka?

Mungu huyu huyu ndio anawapa pesa mashoga washirikina na wachawi alafu wachamungu wanaishi kama paka?

Mungu huyu huyu ndio hutoa umasikini wa kudumu kwa watu?

Mungu aliefanya yote hayo ndio anakupenda na wewe?
Wengine hawapendi?

Uchawi upo utumie vizuri baadae rudi kwa Mungu

Jifunze kuishi kwa technique.

Kosoeni masikini wanaomtegemea Mungu kuwa matajiri wakati wapo masikini wa kudumu wenye kudumu na ibada ila wanaishi mpaka aibu.
Sio kwamba Mungu hayupo ila Wengi hawafahamu na wamefundishwa uongo mwingi mno.Watu wanaamini uongo,na uongo umetembea kizazi hadi kizazi.Dunia inaendeshwa kwa kanuni ambazo hazibadiliki na wachache wanafahamu kanuni hizo na wananufaika nazo.Ili uweze kinifaika na kanuni za ulinwengu lazima uwe sambamba na nature (to align with nature)ambayo huitwa Mungu na majina mengine.Na uongo mwingi umejificha kwenye Dini.
 
Hii Kuna somo lake mkuu, au maarifa ya vitabu na vitabu.
Itakayo kufanya usome sana!?
Cybercurex
 
Siamini kama kuna binadamu anae penda kiza kinene japo Mungu ndivyo alivyo umba ulimwengu kuwe na kiza na mwanga. Hapo ni chaguo lako kupenda kiza aula!. Ombeni nanyi mtapewa si kwa mchawi tu hata mcha Mungu wote mkiomba mtajibiwa, wewe tegemea uchawi sie tuwache kwa Mungu japo majibu ya uchawi ni papo kwa papo, mwenye imani na Mungu hachoki kusubiri. Usituvuruge mwanga we.
 
Back
Top Bottom