Uchawi katika nyumba za kupanga

We jamaa mbona.muongo sana
 
No..1
 
No. 2
 
No 3.
Ni wewe tu?
 
Umbea tu🀣
 
Nimewahi tembea sehemu nyingi Tz ila sijawah experience Imani za kishirikina kama Iringa pawaga kijiji kimoja kinaitwa magombwe, ukisikia ghost village ndiyo kule sasa, kule kila mtu ukipiga naye stori unaonywa, yule mtu kuwa naye makini ni mwanga! mpaka panya akikutwa shambani anapelekwa kwa mganga wa kienyejiπŸ˜€πŸ˜€πŸ‘
 
N kweli usemacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…