Uchawà kazi kweli kweli.

Uchawà kazi kweli kweli.

tanzagiza Christians ni wachache sana, wengi wanajiita Christians lkn ni label tu, isitoshe Ukristo ni mgumu hasa kwa utamaduni wa mwafrika na ndiyo maana islam iko attractive sana kwa afrika (afrika ndiyo sehemu pekee ambapo islam inakuwa kwa kasi duniani >40% ni muslims vs south amerika muslims is only 1%), hata black americans wengi wanavutiwa na islam, sehemu kubwa ya islam USA ni sababu ya black americans kwa maana Christianity ni ngumu inahitaji nidhamu, haki.

upendo ni moja kati ya nguzo KUU kwenye Christianity, mpende jirani yako kama nafsi yako, thats hard na inaelezea kwa nini kwa mfano afrika matatizo na sufferings kila mahali, mwenye nguvu anapiga wa chini, aliye juu anakanyaga wa chini na kuiba kila kitu, umwinyi (ni typical utamaduni wa kiislam kule nigeria umwinyi wanaita oga, umwinyi unaendana na uafrika kwa kiasi kikubwa sana, maisha ya kiafrika sehemu kubwa yametawaliwa na umwinyi) kujiona kwamba ni muhimu klk binadamu wengine vs Christianity inafundisha humility au kujishusha kwani elimu, cheo, mali vyote vinatoka kwa Mungu na Mungu amekupa ili uvitumie kusaidia wengine ambao hawakubahatika kuwa navyo na siyo kunyanyasa wengine, again mpende jirani yako kama nafri yako, powerful message lkn ngumu sana kuiishi.

kuna sababu kwa nini islam haikui china, japan, korea, taiwan na kwingineko kote ambako kuna high economic growth, culture ambazo watu wanathamini kazi, utu na heshima kwa binadamu bila ya umwinyi hakuna uislam au kuna asilimia ndogo sana na haukui ...
 
Kanzu sio vazi la kiislamu. Ni vazi la kitamaduni. Kama ilivyo mtandio.

Kama ni hivyo, basi suti ni vazi la kikristu. Kwa hiyo ni kosa waislamu kuvaa suti wanapoenda kumfariji Mkristu.

Siku mkristu akibeba tasbih kwenda kutoa pole ndio tutamshangaa. Kama ambavyo tutamshangaa muislamu atakaye fanya hivyo huku kavaa msalaba.

Amandla...
mbona waislam huchachamaa muhuni anapovaa kanzu na kibaraghashia kwa kuona dini yao inadhihakiwa?
 
mbona waislam huchachamaa muhuni anapovaa kanzu na kibaraghashia kwa kuona dini yao inadhihakiwa?
Waislamu wapi hao? Kuna waislamu wanaochachamaa wakiona mkristu anakula wakati wa mwezi Ramadhan. Ukiwauliza wanao jua dini yao wanasema hiyo sio sahihi. Waislamu na wakristu wengi hawazijui dini zao. Ndio mwanza wa matatizo yetu ya udini.

Amandla...
 
Kanzu na baibui ni mavazi ya heshima na hayatafsiri dini mimi nashauri yawe mavazi ya taifa kuliko suti na vimini
 
Back
Top Bottom