Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 13,570
- 21,117
Wewe mtu wa ajabu kweli! Ulitaka uone vitu tofauti na vinavyozungumzwa sasa!Nimewasikia baadhi ya viongozi wa CHADEMA walipata nafasi ya kuieleza hiyo Sera lakini hakuna hata mmoja alibainisha UMASKINI ni nini, hata katika mazingira ya Tanzania, na mikakati iliyoanishwa ya kuondokana na UMASKINI huo.
Isitoshe dibaji imesheheni yale yale tunayoyasikia mara kwa mara kutoka kwa viongozi wa CHADEMA - Tume Huru ya Uchaguzi.
Hivyo mleta mada aweke hapa hiyo Sera (soft copy) tuipitie kwa kina.
Contradiction?!