Uchambuzi wa Sera mpya ya CHADEMA toleo la 2018

Halafu bado anajiona kijana wakati kwa sasa ana midevu ka Koffi Olomide.
Wewe Certified Idiot, unaweza elewa dunia inavyoenda, Tatizo umezaliwa kwenye nyumba za nyasi zisizo na Umeme ungewezaje kusoma mambo ya dunia ukiwa gizani ?

Taarifa nyingi Baba na Mama yako walitegemea kuzipata toka kwa mwenyekiti wa chama, wazazi wako wamekurithisha mafundisho ya kimaskini, Na Wewe unarithisha ndugu wengine

Ndio maana tunakuita CERTIFIED IDIOT unajadili yanayokufurahisha na kukutekenya mashavu

Zéro brain wewe
 
Mimi toka nishuhudie madawa ya kulevya yakiuzwa na mabaunsa wa club billicanas nikasema sitakuja kuamini CHAMA kinachoongozwa na mmiliki wa club hio.never!
We kweli ni dinfi magu anamiliki hotel chato nenda ukaone upumbavu wa wahudumu je hutakiamini tena chama chake kilichoshika dola acha utoto
 
Wewe Certified Idiot, unaweza elewa dunia inavyoenda, Tatizo umezaliwa kwenye nyumba za nyasi zisizo na Umeme ungewezaje kusoma mambo ya dunia ukiwa gizani ?

Taarifa nyingi Baba na Mama yako walitegemea kuzipata toka kwa mwenyekiti wa chama, wazazi wako wamekurithisha mafundisho ya kimaskini, Na Wewe unarithisha ndugu wengine

Ndio maana tunakuita CERTIFIED IDIOT unajadili yanayokufurahisha na kukutekenya mashavu

Zéro brain wewe
Kaka Punguza Kutokujua Waliozaliwa Wote Kwenye Nyumba Za Nyasi Sio Kwamba Hawana Uelewa Na Uelewa Hautegemei Mtu Kazaliwa Kwenye Mazingira Gani... Au Nyie Ndio Wanaume Wa Dar
 
Tarehe 25/9/2018 Chama kikuu mbadala nchini Tanzania Chadema kimezindua sera yake mpya inayotoa mwelekeo ama dira sahihi ya taifa letu kuelekea 2020.

Katika sera hiyo yameangaziw mengi, na muhimu zaidi ni mambo 12 yanayotawala mnasaba wa sera yenyewe, nimeisoma, ninaendelea kuisoma, na nitahakikisha wote tunaisoma kwa undani na kwa kila neno.

Uzi huu naomba Mods uwe maalumu kwaajili ya Uchambuzi wa sera hii kuanzia ukurasa wa kwanza hadi wa mwisho,

Nitaanzia kwenye utangulizi kabisa, na kila siku nitakuwa naelezea kwa kina kila sera ilivyoeleza...

Ninaomba tuanze na Dibaji ya Sera hii...

View attachment 878563

Iyo pic vipI!!!!! Ilikosekana kanisa picha ya kuwakilisha wananchi wanyonge mpaka akawekwa mmiliki wa Chama. Kweli yaliyopo yanafurahishaa
 
Tarehe 25/9/2018 Chama kikuu mbadala nchini Tanzania Chadema kimezindua sera yake mpya inayotoa mwelekeo ama dira sahihi ya taifa letu kuelekea 2020.

Katika sera hiyo yameangaziw mengi, na muhimu zaidi ni mambo 12 yanayotawala mnasaba wa sera yenyewe, nimeisoma, ninaendelea kuisoma, na nitahakikisha wote tunaisoma kwa undani na kwa kila neno.

Uzi huu naomba Mods uwe maalumu kwaajili ya Uchambuzi wa sera hii kuanzia ukurasa wa kwanza hadi wa mwisho,

Nitaanzia kwenye utangulizi kabisa, na kila siku nitakuwa naelezea kwa kina kila sera ilivyoeleza...

Ninaomba tuanze na Dibaji ya Sera hii...

View attachment 878563
Sawa nguli wa propaganda wa CDM Jasusi Mzoefu Yericko.
 
Moja ya sera ni kwamba kamati kuu ya Chadema kuhudhuria mazishi ya mbwa wa Nassari ni muhimu zaidi kuliko kuhudhuria mazishi ya wapiga kura wa Ukerewe!
wapiga kura waliouwa na CCM ? wale ambao CCM inawazika kwa matenga ya nyanya badala ya majeneza? Wale ambao mnavizia rambi rambi yao sahv?
 
Tarehe 25/9/2018 Chama kikuu mbadala nchini Tanzania Chadema kimezindua sera yake mpya inayotoa mwelekeo ama dira sahihi ya taifa letu kuelekea 2020.

Katika sera hiyo yameangaziw mengi, na muhimu zaidi ni mambo 12 yanayotawala mnasaba wa sera yenyewe, nimeisoma, ninaendelea kuisoma, na nitahakikisha wote tunaisoma kwa undani na kwa kila neno.

Uzi huu naomba Mods uwe maalumu kwaajili ya Uchambuzi wa sera hii kuanzia ukurasa wa kwanza hadi wa mwisho,

Nitaanzia kwenye utangulizi kabisa, na kila siku nitakuwa naelezea kwa kina kila sera ilivyoeleza...

Ninaomba tuanze na Dibaji ya Sera hii...

View attachment 878563
kaka maneno ya dibaji ni matamu sana shida ni picha haijawakilisha wanachama wote, kama inawezekana toeni muwaweke viongozi wote au wekeni picha yenye sura za wananchama.
 
Mbowe anatafuta nini kwenye nyaraka ya Chama? Uchaguzi kwa nafasi ya Mwenyekiti si bado? Kama hivyo ndivyo, Mwenyekiti mwingine akichaguliwa atakuwa anafanya kazi ya kumtangaza Mbowe ambaye hatakuwa Mwenyekiti tena? Come-on guys! Watu wazima na akili zenu mnatumika bila kujijua kumfanyia Freeman Mbowe kampeini ya uenyekiti wa chama!
 
Naona mugabe kajiweka kwenye picha katika ukurasa wa mwanzo kabisa!

Sasa unapomuweka hivyo maana yake nini? Si bora wangeweka picha za kina mtei?
Comments kama hizi hazitasaidia kwenye mjadala wa kuchambua na kuiboresha sera. Natumaini hazitaendelea na kama zikiendelea, wenye akili tujitahidi kuzipuuza!
 
Ili kuwe na uchambuzi wa haki na usawa (balanced discourse) na wenye tija... Asidanganywe mtu, asionewe MTu; basi, tupia humu sera yote kamili ili tujadili tukiwa na uelewa mmoja baada ya kuisoma
Nafikiri pendekezo la mleta mada ni kujadili vipande vipande, jambo ambalo litafanya sera hiyo ichambuliwe na kuboreshwa kwa muda mrefu na kwa kina. Labda picha ikitumwa iwe imekamilika; hiyo dibaji imekatwa.
 
Mbowe anatafuta nini kwenye nyaraka ya Chama? Uchaguzi kwa nafasi ya Mwenyekiti si bado? Kama hivyo ndivyo, Mwenyekiti mwingine akichaguliwa atakuwa anafanya kazi ya kumtangaza Mbowe ambaye hatakuwa Mwenyekiti tena? Come-on guys! Watu wazima na akili zenu mnatumika bila kujijua kumfanyia Freeman Mbowe kampeini ya uenyekiti wa chama!
Shangaa mkuu! Bora wangweka watu kama kina mtei angalau.
 
Unatupotezea wakati, na inaonyesha huna kazi, ama hnitimiza ajira yako.

Ni afadhali ujatueleza wapi tunaweza kupata nakala kwa wale tusioishi Dar.

By the ni vizuri kila mtanzania akawa na copy za sera ya vyama vyote, it helps one yo know the needs of our country. Pia utaona mambo mengi ni sera ya kila mwana siasa, hakuna mwenye monopoly na sera
 
Wemeandaa sera ili waseme serikali inaendeshwa bila sera,it's to late kama waliacha kukemea mafisadi wakapokea mafisadi hapo wanaada wananchi wakushikiwa akili na akina mbowe like.
Mkuu kwani ile mahakama ya mafisadi haijaanza kazi... Kwanini msikamate huyo fisadi unayemsema
 
Mbowe anatafuta nini kwenye nyaraka ya Chama? Uchaguzi kwa nafasi ya Mwenyekiti si bado? Kama hivyo ndivyo, Mwenyekiti mwingine akichaguliwa atakuwa anafanya kazi ya kumtangaza Mbowe ambaye hatakuwa Mwenyekiti tena? Come-on guys! Watu wazima na akili zenu mnatumika bila kujijua kumfanyia Freeman Mbowe kampeini ya uenyekiti wa chama!
Kwan picha ya Mbowe imewekwa kama kiongozi wa jopo la waandishi,mwandishi au mmliki wa chapisho?
 
Ni wakati sasa umefika Chadema iache siasa za Kingese ipige saisa zenye taswira ya Taifa..
 
Wewe Certified Idiot, unaweza elewa dunia inavyoenda, Tatizo umezaliwa kwenye nyumba za nyasi zisizo na Umeme ungewezaje kusoma mambo ya dunia ukiwa gizani ?

Taarifa nyingi Baba na Mama yako walitegemea kuzipata toka kwa mwenyekiti wa chama, wazazi wako wamekurithisha mafundisho ya kimaskini, Na Wewe unarithisha ndugu wengine

Ndio maana tunakuita CERTIFIED IDIOT unajadili yanayokufurahisha na kukutekenya mashavu

Zéro brain wewe
Maneno mengi lakini utumbo mtupu.
 
Back
Top Bottom