mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,286
- 6,729
Nimewasikia baadhi ya viongozi wa CHADEMA walipata nafasi ya kuieleza hiyo Sera lakini hakuna hata mmoja alibainisha UMASKINI ni nini, hata katika mazingira ya Tanzania, na mikakati iliyoanishwa ya kuondokana na UMASKINI huo.Namsubiri huyo mchambuzi Yericko aweke sera yote, lakini muhimu zaidi kuna eneo nasubiri tafsiri yake maana inatisha.
Isitoshe dibaji imesheheni yale yale tunayoyasikia mara kwa mara kutoka kwa viongozi wa CHADEMA - Tume Huru ya Uchaguzi.
Hivyo mleta mada aweke hapa hiyo Sera (soft copy) tuipitie kwa kina.