CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Airtel nakupenda kwa moyo woteeeee....
1500 kupiga airtel to airtel 145 dakika kwa wiki na airtel to mitandao mingine 5 minutes. Sms 1000 na 70 mb kwa wiki....
Mitandao mingine bado saaaana....
Kwa hilo sema ukweli hamna kipya hapa, wale wale tu. Zantel itabaki kwa mimi kuwa na the best value for money kwenye mitandao yote.
mnh hapo
Nilihisi kitu kama hiki.
TCRA lazima waweke mkono hapa.
Huwezi kuingilia ligi za wakubwa (tigo, voda na airtel) kirahisi na wakakuangalia tu.
Kwa mwendo huu, halotel watakufa kama smart, BoL na wengineo.
Sioni kichocheo cha kumuhamisha mtu toka mitandao mingine.
Mkuu, wana 3G kweli mpk vijijini?
hapa nilipo ni kijijini natumia modem ya halotel internet ni 3G
Niko Bush mie inakamata Bar Moja tumbona hamna mtandao kabisa?
Niko Bush mie inakamata Bar Moja tu
Na imani itakua inakimbiza sababu hapa nilipo hata Line hazijaanza kuuzwa ntakua User peke yangu
Msaada hapo Kwenye Settings napata Connection terminated
Airtel nakupenda kwa moyo woteeeee....
1500 kupiga airtel to airtel 145 dakika kwa wiki na airtel to mitandao mingine 5 minutes. Sms 1000 na 70 mb kwa wiki....
Mitandao mingine bado saaaana....
Hivi Mkuu Smart Imekufa?? Niliiacha Dar Kma Inachomoza Hivi...Ila Huku Nilipo Kuna Airtel Unicredit, Ipo Ya Shs 600 Unapata Dk 60, Sms Bila Kikomo Na Gb 1.2 Kwa Masaa 48. (Siku Mbili) Na Kuna Ya Shs 1500, Unapata Dk 150 Airtel Kwenda Airtel Na Dk 5 Mitandao Yote, Sms Bila Kikomo Na Gb 1 Kwa Siku 7. Pia Kuna Ya Shs 6000 Unapata Dk 500 Airtel Kwenda Airtel Na Dk 20 Mitandao Yote, Sms Bila Kikomo Pamoja Na Gb4 Hii Ni Kwa Mwezi.
hebu nisaidieni kati ya zantel na airtel nani mwenye nafuu kwenye data tu, achana na madakika hayo naweza kupambana nayo
Fuata hatua hizi ili uweze kuitumia laini mpya ya HalotelNiko Bush mie inakamata Bar Moja tu
Na imani itakua inakimbiza sababu hapa nilipo hata Line hazijaanza kuuzwa ntakua User peke yangu
Msaada hapo Kwenye Settings napata Connection terminated
Mchawi wa mawasiliano Tz ni Tcra, Tcra inaendeshwa na voda kwa remote control, so halotel watapotezana kama walivopoteana wale jamaa zetu wengine.
Zantel babukubwa