Uchambuzi vifurushi vya halotel

Uchambuzi vifurushi vya halotel

Ila wakiwa naofa kwa muda mrefu watu watatumia then watauzoea lkn wakianza kwa style hiyo watapotea chondechonde.
 
Ndio maana Voda walipandisha bei vifurishi vyao last weak bila woga wowote kumbe walijua hata anayekuja hatawaharibia chochote. Lazima kuna mkono wa mtu nyuma ya pazia. Sio bure
 
hebu nisaidieni kati ya zantel na airtel nani mwenye nafuu kwenye data tu, achana na madakika hayo naweza kupambana nayo
 
Ngoja ni iweke laini yao pembeni mapema. Nashukuru nimeshafaidika n gb5 za bure
 
Mchawi wa mawasiliano Tz ni Tcra, Tcra inaendeshwa na voda kwa remote control, so halotel watapotezana kama walivopoteana wale jamaa zetu wengine.
 
Najua ukishazowea vya kunyongwa vya kuchinjwa hutaweza
 
Mh.... Mbona walzlsema n gharama nafuu..... Iko wapi sasa.... Labda hiyo taarifa sio ya kwel..... Tusubir wazindue rasmi leo
 
Walsema wanakuja ma smartphone yao ya sh65000 lkn juz mepita shop lao wanasema ni 120000
 
Nilihisi kitu kama hiki.

TCRA lazima waweke mkono hapa.

Huwezi kuingilia ligi za wakubwa (tigo, voda na airtel) kirahisi na wakakuangalia tu.

Kwa mwendo huu, halotel watakufa kama smart, BoL na wengineo.

Sioni kichocheo cha kumuhamisha mtu toka mitandao mingine.

Mkuu Smart ndio BOL
 
nimeviangalia havina tofauti yoyote na tigo ndo vile vile tu zikitofautiana ni mb chache na wameiga kale ka katabia ka tigo kusema kifurushi ni unlimited kumbe wanamaanisha unlimited speed. kwa faida ya wengine

internet siku
-sh 250 utapata mb 50
-sh 500 utapata mb 200

internet wiki
-sh 2000 utapata mb 400
-sh 3000 utapata mb 600

internet mwezi
-sh 2000 utapata mb100
-sh 5000 utapata 1gb
-sh 10,000 utapata 3gb

vifurushi hivyo hapo juu hawajasema kitu, kuna vifurushi ambavyo wanaviita unlimited

-sh 1000 utapata mb800 kwa siku
-sh 5000 utapata gb 1 kwa siku
-sh 15,000 utapata gb 2 kwa mwezi
-sh 25,000 utapata gb 5

mpaka hapo juu tayari wameshafeli, mtandao mpya ila vifurushi bora ya hao wa zamani.

vifurushi vya maongezi
hapa pia hamna jipya, labda hizo mb kuongezeka toka mb1 hadi 3

1. vya siku
-sh 400 unapata dk 6 sms 50 na mb3
-sh 600 unapata dk 12 sms 500 na mb5
-sh 800 unapata dk19 sms 1000 na mb8

2. vya wiki
-sh 2000 unapata dk30 sms 300 na mb60
-sh 4000 unapata dk 100 sms 1000 na mb60
-sh 10000 unapata dk 200 sms 1000 na mb60

*aliepanga hivyo vifurushi pia hakutumia akili hapa ukijiunga vifurushi viwili vya wiki vya 4000 kwa jumla ya 8000 unapata dk200 sms 2000 na mb120 ambazo ni nyingi kuliko kifurushi cha 10,000 kwa wiki. hivyo kifurushi cha 10,000 ni useless

3. vya mwezi
-sh 10,000 unapata dakika 160 sms 1500 na mb80
-sh 15,000 unapata dakika 300 sms 2500 na mb 300
-sh 20,000 unapata dakika 400 sms 3500 na mb 300
-sh 30,000 unapata dakika 550 sms 5500 na mb 500
-sh 50,000 unapata dakika 1000 sms 3000 na gb 1

*hapa pia ukinunua vifurushi viwili vya 15,000 unapata dakika 600, sms 5000 na mb 600 ambavyo ni vingi kuliko kifurushi cha 30,000 hivyo inafanya hicho kifurushi kisiwe na maana.

*hivyo hapo juu ni vifurushi vya mitandao yote mi si mpiga simu sana hivyo siwezi coment.

nimependa tu hawa jamaa wamekuja kutukumbusha basi letu jekundu liliopinduka zamani


je unafkiri Halotel wameleta mabadiliko?


wala mi sishangai..Nazidi kukumbuka features za oligopoly market...they are depending to each other.

hivyo firms hazinaga tofaut sana.

kingine TCRA wanahusika vizuri hapa.hivyo siwalaumu hawa jamaa.


Ukiangalia hizi sifa chini hapa wala watu hawatakiwi kubabaika sana na mitandao ya simu.



1. Interdependence:
The firms under oligopoly are
interdependent in making decision.
They are interdependent because the
number of competition is few and any
change in price & product etc by an firm
will have a direct influence on the
fortune of its rivals, which in turn
retaliate by changing their price and
output. Thus under oligopoly a firm not
only considers the market demand for its
product but also the reactions of other
firms in the industry. No firm can fail to
take into account the reaction of other
firms to its price and output policies.
There is, therefore, a good deal of
interdependences of the firm under
oligopoly.
2. Importance of advertising and selling
costs:
The firms under oligopolistic market
employ aggressive and defensive
weapons to gain a greater share in the
market and to maximise sale. In view of
this firms have to incur a great deal on
advertisement and other measures of
sale promotion. Thus advertising and
selling cost play a great role in the
oligopolistic market structure. Under
perfect competition and monopoly
expenditure on advertisement and other
measures is unnecessary. But such
expenditure is the life-blood of an
oligopolistic firm.
3. Group behaviour:
Another important feature of oligopoly is
the analysis -of group behaviour. In case
of perfect competition, monopoly and
monopolistic competition, the business
firms are assumed to behave in such a
way as to maximize their profits. The
profit-maximizing behaviour on his part
may not be valid. The firms under
oligopoly are interdependent as they are
in a group.
4. Indeterminateness of demand curve:
This characteristic is the direct result of
the interdependence characteristic of an
oligopolistic firm. Mutual
interdependence creates uncertainty for
all the firms. No firm can predict the
consequence of its price-output policy.
Under oligopoly a firm cannot assume
that its rivals will keep their price
unchanged if he makes charge in its own
price. As a result, the demand curve
facing an oligopolistic firm losses its
determinateness.
The demand curve as is well known,
relates to the various quantities of the
product that could be sold it different
levels of prices when the quantity to be
sold is itself unknown and uncertain the
demand curve can't be definite and
determinate.
5. Elements of monopoly:
There exist some elements of monopoly
under oligopolistic situation. Under
oligopoly with product differentiation
each firm controls a large part of the
market by producing differentiated
product. In such a case it acts in its
sphere as a monopolist in lining price
and output.
6. Price rigidity:
Under oligopoly there is the existence
price rigidity. Prices lend to be rigid and
sticky. If any firm makes a price-cut it is
immediately retaliated by the rival firms
by the same practice of price-cut. There
occurs a price-war in the oligopolistic
condition. Hence under oligopoly no
firm resorts to price-cut without making
price-output decision with other rival
firms. The net result will be price -finite
or price-rigidity in the oligopolistic
condition.
 
Mh.... Mbona walzlsema n gharama nafuu..... Iko wapi sasa.... Labda hiyo taarifa sio ya kwel..... Tusubir wazindue rasmi leo

Mkuu ni kweli ukipiga *148*66# utaona hivyo vifurushi
 
Hawa watu waaleta masihara maana nilikua nimeshawishi watu kibao kuhamia kwenye mtandao wao lkini jana naangalia vifurushi vyao ebo..., sijui nani kawaingiza chaka hili anyway minara yao unabidi tupandishe tu bendera za ukawa majengo yao tufugie kuku maybe ndo wanaloliweza
 
Back
Top Bottom