Uchambuzi: Hali ya Uwanja wa ndege wa Kimataifa Chato baada ya Magufuli kustaafu

Baada ya mazishi ya Mkuu wa Nchi, nimetafakari kwa kina kuona kama kuna mtu yyte, au shirika lolote la ndege litakuwa na ratiba ya kwenda chato.
Hivi waliojenga uwanja huo, walitathmini kweli?.
lile jengo la abiria wafanye ofisi za nida linaweza kuwa usefull kukawa busy na activity hela ikaenda kihalali
 
Baada ya mazishi ya Mkuu wa Nchi, nimetafakari kwa kina kuona kama kuna mtu yyte, au shirika lolote la ndege litakuwa na ratiba ya kwenda chato.
Hivi waliojenga uwanja huo, walitathmini kweli?.
Hakuna shida tutavuna mbao na kukata majani ya ng'ombe, acha msitu uote
 
Baada ya mazishi ya Mkuu wa Nchi, nimetafakari kwa kina kuona kama kuna mtu yyte, au shirika lolote la ndege litakuwa na ratiba ya kwenda chato.
Hivi waliojenga uwanja huo, walitathmini kweli?.
Hilo liko mikononi mwa wana chato kiukweli wasimuangushe muasisi wa wazo la kujenga stendi ya ndege pale
 
Baada ya mazishi ya Mkuu wa Nchi, nimetafakari kwa kina kuona kama kuna mtu yyte, au shirika lolote la ndege litakuwa na ratiba ya kwenda chato.
Hivi waliojenga uwanja huo, walitathmini kweli?.
Hili halina ubishi mkuu
 
Jamaa alipambana aisee na kazi aliyoitiwa aliifanya hapo chato na amemaliza
 
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
Tumeliwa Sana Ndugu Zangu
Tumelaliwa Sana Ndugu Zangu
Tumechezewa Sana Ndugu Zangu
Tumehomolwa Sana Ndugu Zangu
Vyovyote Mtakavyosema Najua Mmenielewa!!
😂😁😀😆😅😄😃😂
 
Kabla ya jamaa kuwa Rais mimi sikuwahi kujua kama Kuna sehem inaitwa chato lakn alivyo ingia tu imekua maaruf sana, Kuna hosptal kubwa ya rufaa kaijenga huko sijui kma imeshaisha, hifadh ya burigi leng lilikua n kuifanya sehem muhimu na pngne angemaliza muda wake aiwa hai lengo ilikua kuifanya chato mkoa
Kwa Bahat mbaya bad chato haijawa na ushawshi kwa wat wengi magofu yanaweza kubak mengi sana huko n jukumu la wazawa kuwekeza kwao na kupatangaza zaid laa sivyo itakua kma butiama tu
 
Back
Top Bottom