Uchambuzi: Hali ya Uwanja wa ndege wa Kimataifa Chato baada ya Magufuli kustaafu

KAMA MAWAZO NI HAYA NDO MAANA STROGILLERS GORGE HAIKUJENGWA TANGIA ZAMANI KWANI WAZUNGU WALITUAMINISHA KUWA TANZANIA UCHUMI WAKE NI MDOGO SANA KUZALISHA UMEME ULE..GEITA ZAHABU ZOTE ZINATOKA HUKO UKANDA WA GEITA NA CHATO NA NIMEKWAMBIA KUNAMGONDI UTAZIDI WA GGM UTAJENGWA..eia ILITANGAZWA KAMA WIKI TATU KWENYE MAGAZETI..HALAFU UMBWA KOKO WANAKUJA KUPINGA BILA ECONOMICS ZOZOTE
Zahabu????
 
Maendeleo ya Chato ni sehemu ya Tanzania. Kama mikakati ikiwekwa hasa katika sekta ya Utalii na Wiwanda. Ndege zitatua tu hata kama Raisi wa Sasa Hatokuwepo Madarakani.
Mfano, Musoma kuna uwanja wa ndege lakini uwanja wa Bukoba hata kabla ya kuwa upgraded ulikuwa na ndege nyingi kuzidi Musoma. PW walikuwa wanaenda kila siku na hata mara mbili kwa baadhi ya siku, Auric walikuwa wanaenda mara tatu kila siku nk na sasa baada ya kuwekwa lami umeshamiri zaidi wakati una mita 1,200 tu!
Kwa hiyo kibiashara unajaribu soko kwanza alafu unaangalia mwelekeo, unajenga airstrip ya molam na ukiona mwitikio una upgrade. Kwa 3km x 45m ni sawa na mtu ambaye hajawahi hata kupanga chumba kuanza kwa kujenga ghorofa kwenye kiwanja cha square meter 3,000!
 
KAMA MAWAZO NI HAYA NDO MAANA STROGILLERS GORGE HAIKUJENGWA TANGIA ZAMANI KWANI WAZUNGU WALITUAMINISHA KUWA TANZANIA UCHUMI WAKE NI MDOGO SANA KUZALISHA UMEME ULE..GEITA ZAHABU ZOTE ZINATOKA HUKO UKANDA WA GEITA NA CHATO NA NIMEKWAMBIA KUNAMGONDI UTAZIDI WA GGM UTAJENGWA..eia ILITANGAZWA KAMA WIKI TATU KWENYE MAGAZETI..HALAFU UMBWA KOKO WANAKUJA KUPINGA BILA ECONOMICS ZOZOTE

UtaKua na utindio kutoka Heita hadi Chato ni 3hrs kwann usijengwe geita..

Kitendo cha kuandika herufi kubwa tu kinaonyesha akili yako ilivyo ndogo
 
Mfano, Musoma kuna uwanja wa ndege lakini uwanja wa Bukoba hata kabla ya kuwa upgraded ulikuwa na ndege nyingi kuzidi Musoma. PW walikuwa wanaenda kila siku na hata mara mbili kwa baadhi ya siku, Auric walikuwa wanaenda mara tatu kila siku nk na sasa baada ya kuwekwa lami umeshamiri zaidi.
Kwa hiyo kibiashara unajaribu soko kwanza alafu unaangalia mwelekeo, unajenga airstrip ya molam na ukiona mwitikio una upgrade. Hii ni sawa na mtu ambaye hajawahi hata kupanga chumba kuanza kwa kujenga ghrofa kwenye kiwanja cha squre meter 3000!
Sawa.. Nakubaliana na Wewe. Lakini pia na wewe kubariana na mimi
 
hivi unajua chato kunanini..Chatao kuna mbuga za brigi na rubombo kwa ajili ya utalii... Chato panafunguliwa mgod mkubwa sana wa dhahabu kuliko GGM amabo utakaa miaka 30-40 life span waith high grade gold in Africa and South America. usifate ujinga wakupinga kama wabunge amabo wanalirputa bila kufanya utafiti
Mkuu uwanja Wa ndege ni muhimu katika kila Mji maana sometimes unatumika hata kuchukua wagojwa mahututu na kuwawahisha hospitali kubwa,lkn Kwa Mji Wa chato na hiyo miradi sijui ya migodi nk nadhani ilikuwa inatosha kabisa kujenga uwanja Mdogo Wa ndege kama Wa Arusha maana maana Kwa mbuga hiyo ya wanyama na cjui mgodi sidhani km kuna ndege kubwa km Boeing 737 itaenda huko.
 
Hifadhi ya wanyama ya kisiwa cha Rubondo ipo Geita na kisiwa hicho kipo karibia na Chato,Mgodi wa dhahabu wa GGM upo karibia na Chato hapa kuliko mtu kutoka Geita then apite Sengerema kisha avuke maji afike wilaya ya Misungwi kisha aende Usagara kisha Buhongwa kisha Mkolani then Mkuyuni atoboe Pepsi kisha Mwanza Mjini Nara,Makongoro,apite Taqwa High School kisha kona ya bwiru aende Pasiansi kisha saba saba atoboe Ilemela ndio aingie airport Mwanza bora atoke Geita apite Buselesele kisha anaibukia Chato anakwea zake pipa
Wilaya ya Chato, Ngara, Biharamulo, Kahama na Bukombe zipo katikati ya ukanda wa nchi za maziwa makuu.
Uwanja huo kujengwa Wilaya ya Chato si tu kwa kuwa Rais anatoka huko, bali kijiografia Chato iko kama ilivyo Mwanza/Ilemela hivyo kufaa kwa ujenzi huo.
Lakini pia ujenzi huo utasisimua ujenzi wa miundombinu mingine ya kiuchumi kama vile biashara ya utalii, ujenzi ya mahoteli makubwa ya kisasa katika visiwa vinavyozunguka ziwa Victoria, Viwanda vikubwa vya samaki na nyama na kukuza biashara katika nchi za maziwa makuu (Congo, Rwanda, Uganda, Burundi, Tanzania na Zambia).
Ingelikuwa vyema iwapo wale wanaolalamika wangelifanya study tour ya kujionea fursa zilizoko ukanda huo hususani Wilaya ya Chato na Wilaya jirani, visiwa vinavyozunguka Ziwa Victoria na mandhali za kiutalii.

Ziwa Victoria ni muhimu katika ukanda wa maziwa makuu, hivyo hatuna budi kujenga miundombinu ya kisasa kulizunguka (kuanzia Mkoa wa Mara, Simiyu, Mwanza, Geita, Kagera).

Mojawapo ya mtaji wa kutuondolea utegemezi ni kulitumia ziwa Victoria katika utalii, biashara, usafirishaji, viwanda n. k,

Ni suala la kupanga na kuchagua ili baadae nguvu itakayotumika itumike pia katika maeneo mengine kwa awamu,kama ilivyo kwa ujenzi wa miundombinu ya maji na barabara, Usafiri wa Anga, (DSM) ,

Ujenzi wa reli ya kati SGR (DSM, Moro, Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, Mwanza na Kigoma) n. k

Tushikamane tuijenge Tanzania.
 
Maendeleo ya Chato ni sehemu ya Tanzania. Kama mikakati ikiwekwa hasa katika sekta ya Utalii na Wiwanda. Ndege zitatua tu hata kama Raisi wa Sasa Hatokuwepo Madarakani.
Of coz naunga mkono hoja ya kujenga Viwanja vya ndege katika kila miji nchini maana vinasaidia hata kukimbiza wagonjwa mahututi kwenye hispitali kubwa Kwa ndege za Kukodi, ila nadhani Viwanja vya kawaida tu vinatosha na si lazima kujenga Viwanja vya kurushia mindege mikubwa
 
Ni kweli mkuu....
 
Wilaya ya Chato, Ngara, Biharamulo, Kahama na Bukombe zipo katikati ya ukanda wa nchi za maziwa makuu.
Uwanja huo kujengwa Wilaya ya Chato si tu kwa kuwa Rais anatoka huko, bali kijiografia Chato iko kama ilivyo Mwanza/Ilemela hivyo kufaa kwa ujenzi huo.
Lakini pia ujenzi huo utasisimua ujenzi wa miundombinu mingine ya kiuchumi kama vile biashara ya utalii, ujenzi ya mahoteli makubwa ya kisasa katika visiwa vinavyozunguka ziwa Victoria, Viwanda vikubwa vya samaki na nyama na kukuza biashara katika nchi za maziwa makuu (Congo, Rwanda, Uganda, Burundi, Tanzania na Zambia).
Ingelikuwa vyema iwapo wale wanaolalamika wangelifanya study tour ya kujionea fursa zilizoko ukanda huo hususani Wilaya ya Chato na Wilaya jirani, visiwa katika victoria na mandhali za kiutalii.
Umenena vyema mkuu
 
Hifadhi ya wanyama ya kisiwa cha Rubondo ipo Geita na kisiwa hicho kipo karibia na Chato,Mgodi wa dhahabu wa GGM upo karibia na Chato hapa kuliko mtu kutoka Geita then apite Sengerema kisha avuke maji afike wilaya ya Misungwi kisha aende Usagara kisha Buhongwa kisha Mkolani then Mkuyuni atoboe Pepsi kisha Mwanza Mjini Nara,Makongoro,apite Taqwa High School kisha kona ya bwiru aende Pasiansi kisha saba saba atoboe Ilemela ndio aingie airport Mwanza bora atoke Geita apite Buselesele kisha anaibukia Chato anakwea zake pipa
Naona unaonyesha Usukuma wako
 
Maendeleo ya Chato ni sehemu ya Tanzania. Kama mikakati ikiwekwa hasa katika sekta ya Utalii na Wiwanda. Ndege zitatua tu hata kama Raisi wa Sasa Hatokuwepo Madarakani.
Kwa mwendo huu tungekuwa na viwanja Butiama, Kisiju, Lupaso kule Masasi na Msoga
 
Back
Top Bottom