MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,710
- 1,660
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako, ndipo unaweza kuona kibanzi kwenye jicho la mwenzako
Nikiangalia marais wachache katika historia ya Zanzibar,sidhani kama unahitaji kichwa kuiendesha ile serekali, maamuzi mengi makubwa yanafanywa na rais wa muungano.
Kibunango,
Nilikuwa sijaangalia vizuri sahihi yako Mkuu!
ES alisema huyu jamaa ni mlevi na hunywa na kujisahau aliko-na kulala popote- na tunajua Zanzibar ni Visiwa vya Maadili- je tungependa kuwa na balozi au raisi wa aina hiyo? Hakuna mtu ananyimwa kunywa -ila ulevi wa kupindikia kwa balozi ambaye ni mwakilishi wa Watz haitoi picha nzuri kwa nchi yetu!
Je hakuna wengine wenye maadili mazuri? Kwa nini tung'ang'anie?
Hakuna lolote wa nini hapo bwana mdogo Dr Hussein Mwinyi ndio anachukua nchi kwani hujui rais wa Zanzibar hajachaguliwa Zanzibar anachaguliwa tanzania Zanzibar wanapewa formality tu kuwa wapige kula kijana Mwinyi ndio anasubiriwa kupewa nchi shame on them kwani wanataka kufanya utawala wa kurithishana.
Kwa Zanzibar wasije wakamjaribu maana hatopata kura hata moja,waPemba wansema huyu mtu anakesi kule ya mauaji wakati wa utawala wa baba yake ,nakumbuka gazeti la dira liliwahi kuhoji na kusema wahusika waliofanyiwa kitendo cha kuuliwa kwa mtoto wao wapo hai ,na kwa hali inavyokwenda nafikiri mwisho wa Utawala wa CCM pemba ni msimu huu wa karume.This stands kama home run, lakini politically incorrect unaikubalije hii theory without offending the Zanzibaris? Kwamba na wao sio vichwa ndio maana it okay kuongozwa na un-kichwa?
click link hii umsikilize miaka ya nyuma ulinganishe na hii ya sasa http://www.habaritanzania.com/articles/408/1/Nitaendelea-kugombea-nafasi-za-kisiasa--Balozi-Karume
Ukisikia fitina na chuki ndio maneno kama hayo yako...Leo mnasikiliza hitimisho la mahojiano na huyu jinga kabisa . The guy aliwahi kuitwa katika kusanyiko la Tanzania pale Stuttgart .Akaja na maneno ya mipasho na kusema Watanzania wa Ujerumani waachane na siasa za nyumbani maana wao wanakaa Ujerumani.Akasema pilipili ya shamba inakuwasha nini ? Akiwa na maana kwamba walioko Ujerumani waendelee na ya tanzania wawachie Watanzania .Lakini yeye akatoka hapo akaenda kugombea Urais . Huyu ni mjinga tu hana kitu kichwani mavurugu kila siku na kupigana Ikulu Zenji . Ali miaka yote ameishi Zenji na kuacha Ubalozi mtupu.Ali hakuwahi kujua umuhimu wa yeye kuwa Balozi na kuwa mwakilishi . Amekuwa akifanya akiwa Zanzibar na muda wote wa ubalozi wake . Uliza Italia watakueleza yuko wapi sasa .Baada ya kutoa statement hiyo sisi tukaondoka na wenye kujua mambo wakaondoka wakamwacha anacheza mduara na kunywa pombe Stuttigart