Uchaguzi wa mwaka huu una mambo kweli kweli, tutupie hapa picha au katuni zinazousiana na uchaguzi huu

Tatizo ambalo lipo kwa CCM mpaka kufikia hatua hii ni kwamba shida ipo ndani ya chama ndani ya system ya chama in inner circle na hapa vita ipo hivi wanaokula kwa unono vs ambao wapo wapo lakini mioyoni hawapo ambao they can reach 80%, ugali was the case how they can putty all members together including me
 
Hii nchi ni ya chama kimoja...

Wazee wenzangu mnanielewa.. ukiona kama hunielewi,basi jua we bado mtoto.
 
tetesi.......



Hilda Newton

@HildaNewton21


Jeshi la Polisi Wilayani Tarime wakiwa na magari zaidi 10 Wamevamia Kushambulia Msafara wa Mgombea Urais wa Chadema Mhe. Tundu Lissu kwa kutumia Risasi na Mabomu ya machozi muda huu eneo la Nyamongo.. Jackson Mnyawami Katibu kanda ya serenget
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…