Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,618
- 20,944
HAISEE HILI NI LA AJABU KWELI KWELI comfused
HAISEE HILI NI LA AJABU KWELI KWELI comfused
hawa walikutania wapi? au ni editing?
kama mwaka 2015 mtu alibadirisha akaiga motto M4C ikawa magufuli for cahnge,tukajua ccm ndio kwishaa habari yake
kuumbee.
Wangeruhusu basi na bange walau kipingi hiki tu
Watoro wa shuleni!!!Chalii alitisha sana, salute. View attachment 1582206
Siku hizi Lissu ana kichwa cheusi na mikono myeupe!
Acha ushamba.Siku hizi Lissu ana kichwa cheusi na mikono myeupe!
acha uongo hapo yupo na waandishi wa habari