Maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu yakoje?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,621
46,264
Maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa yanaanza lini? Mbona kimya kwa TAMESIMI na hata vyama vya siasa hasa vya upinzani?

Vyama vya upinzani mlipaswa kujiandaa na wakati huu wanachama wenu walitakiwa wawe katika harakati huko vijijini na mitaani kujizatiti kwa uchaguzi huu muhimu sana.
 
Back
Top Bottom