Katika hatua ya kushangaza kabisa, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji ameahirisha uchaguzi wa Meya. Katika Halmashauri hii CHADEMA ina madiwani wengi zaidi ya CCM na nafasi ya Meya na Naibu Meya ni ya chama chetu.
Mkurugenzi wa Manispaa amesema kapigiwa simu na Waziri wa TAMISEMI na kumwagiza aahirishe. Nimewasiliana na Waziri wa nchi TAMISEMI mhe Mkuchika na amesema yupo Newala na hajatoa agizo hilo na kwamba Serikali inaendeshwa kwa maandishi.
CCM wamegoma kuja kikaoni. Mkurugenzi kakimbia kikao na ofisi. CHADEMA imetimiza quoram lakini kikao hakifanyiki.
This is democracy at its best.
Kigoma mjini inanishangaza sana. 2005 CHADEMA ilipata madiwani wengi lakini wakakosa ubunge. Mwaka huu tena hayo yamejirudia, kuna nini huko?
Kigoma kuna Halmashauri 4, halmashauri ya Kibondo pekee ndio CCM wana majority. Halmashauri ya Wilaya Kasulu NCCR wanaongoza kwa msaada wa CHADEMA, Halmashuri ya wilaya Kigoma inaongozwa na CHADEMA kwa msaada wa NCCR na Manispaa ya Kigoma inaongozwa CHADEMA peke yake.Mh!mbona tulipata habari kuwa Chadema hawawezi kuongoza halmashauri hiyo mbaka washirikiane na NCCR MAGEUZI!!Mambo yamebadilika tena!tafdhani tunaomaba ufafanunuzi mheshimiwa Zitto!!
Nashukuru kusikia haya kutoka kwako Zitto, mengi sana yamesemwa kwenye vyombo vya habari lakini nadhani njia pekee ya kujibu na kuwaziba midomo wote wanaotilia shaka uanachama wako wa Chadema ni kusimamia masilahi ya Chama mpaka kieleweke
Kigoma kuna Halmashauri 4, halmashauri ya Kibondo pekee ndio CCM wana majority. Halmashauri ya Wilaya Kasulu NCCR wanaongoza kwa msaada wa CHADEMA, Halmashuri ya wilaya Kigoma inaongozwa na CHADEMA kwa msaada wa NCCR na Manispaa ya Kigoma inaongozwa CHADEMA peke yake.
Kinachotokea kinatukumbusha machungu na maumivu tuliyoyapata kwenye uchaguzi Mkuu pale tulipokuwa tunadai Matokeo ya Wabunge wetu wa Chadema ila ninachoamini nikwamba kwa Matokeo ya Umeya uchakachuaji hauwezekani nyie simameni Kidete kuhakikisha HAKI inachukua mkondo wake.Tumeamua kuwa hatutatoka katika kikao mpaka uchaguzi ufanyike. CCM wanafanya mchezo wa kijinga sana. Tumewazidi madiwani. Hawataki kutupa Council yetu. Wanakaa kwenye vikao RC, DC na wengine kuhujumu. Wajue tu huu mji ni wa CHADEMA na labda watuue, Umeya ni wetu.
Katika hatua ya kushangaza kabisa, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji ameahirisha uchaguzi wa Meya. Katika Halmashauri hii CHADEMA ina madiwani wengi zaidi ya CCM na nafasi ya Meya na Naibu Meya ni ya chama chetu.
Mkurugenzi wa Manispaa amesema kapigiwa simu na Waziri wa TAMISEMI na kumwagiza aahirishe. Nimewasiliana na Waziri wa nchi TAMISEMI mhe Mkuchika na amesema yupo Newala na hajatoa agizo hilo na kwamba Serikali inaendeshwa kwa maandishi.
CCM wamegoma kuja kikaoni. Mkurugenzi kakimbia kikao na ofisi. CHADEMA imetimiza quoram lakini kikao hakifanyiki.
This is democracy at its best.
Tumeamua kuwa hatutatoka katika kikao mpaka uchaguzi ufanyike. CCM wanafanya mchezo wa kijinga sana. Tumewazidi madiwani. Hawataki kutupa Council yetu. Wanakaa kwenye vikao RC, DC na wengine kuhujumu. Wajue tu huu mji ni wa CHADEMA na labda watuue, Umeya ni wetu.