Jamani naomba yoyote mwenye uwezo wa kunisaidia kufanya research kuhusu Kiteto, kufahamu the good, the bad and the ugly, takwimu, facts etc na unitumie kwenye mwanakijiji@klhnews.com
Mheshimiwa Mwanakijiji,
Sasa umefikaje kusema hapo juu kwamba CCM hawatashinda kumbe bado huna facts zote kuhusu hiyo wilaya? Si unajua garbage in garbage out?
Baada ya CCM kuvuruga sana, mimi kipimo cha nguvu ya upinzani ni haya majimbo matatu. Ningetegemea wachukue yote, sana sana mawili. Wakiishia kuchukua jimbo moja maana itakuwa moja tu kwamba mikakati yao haifanyi kazi.