Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,354
- 1,943
Tatizo la Chadema ni pupa, jazba na papara. I hope and wish wataangukia pua....
Masatu, hebu tusaidie kidogo ndugu yangu, "pupa, jazba na papara" ipi ili ikiwezekana tuweze kurekebisha. I know unaweza ukawa unawachukia CHADEMA, lakini why do you wish them bad kiasi cha kusema waangukie pua? Nijuavyo hata adui yako humtakii mabaya kiasi hicho, so why this hatred to this party which is hitherto the only promising alternative to CCM? Hebu nielimishe kidogo hapa ndugu yangu!