kama ni hivo nimemvulia kofia lissu, ametisha ile mbaaya. Kwa mwakani madiwani watakaoingia watafuata maelekezo ya cdm kwenye Wdc zao. Wapende wasipende.Kwa mujibu wa nukuu toka gazeti la Nipashe la jana,Jimbo la Lissu lina vijiji 43 na CHADEMA kapata vijiji 41 na CCM vijiji 2 tu!Hawajaonyesha vitongoji wala majina ya vijiji!
Lkn kama umepata vijiji kwa zaidi ya 92% ni wazi vitongoji navyo umepata vingi!
Hadi Nape kuweweseka vile jana kwenye media hawa wamechezea kichapo hasa
He he heee! Maana yake ni kwamba, ukitokea mgogoro wa mpaka kati ya kiwanja cha ofisi ya CCM na mwananchi ambaye ni jirani anayepakana na kiwanja hicho, basi CCM watalazimika waende kutafuta suluhu na jirani kwa wajumbe wa CHADEMA...
kulingana na matokeo ya jana manaake CHADEMA wameziteka ofisi za CCM baada ya mitaa iliyopo ofisi hizo CHADEMA KUSHINDA KWA KISHINDO, ofisi hizo ni pamoja na ofisi ya wilaya ya iringa iliyopo mtaa wa saba saba na ofisi za CCM mkoa..... kuona hiyo haitoshi pia OFISI ZA MKUU WA MKOA NAZO ZIPO CHINI YA MTAA WA CHADEMA.
Sera ya jino kwa jino ndio mpango mzimauchaguzi wa jana ndo tarehe kumi na tano ndo ulikuwa uchaguzi uliowauma zaidi ccm.. kulikuwa na kata 11 ambazo zilifanya uchaguzi jana baada ya uchaguzi kwenye vituo hivyo kuhairishwa. CCM waltumia nguvu nyingi sana ikiwepo ya kupiga watu na kukodi vijana wao kutoka kata ya kitanzini kwenda kuleta vurugu huko.
si hayo tu viongozi wote wa mkoa wa ccm pia walikuwa huko wakifanya juu chini kujinusuru wasidondoke. licha ya mambo yote hayo lakini mwisho wa siku wananchi walipiga kura na matokeo ni kuwa CHADEMA walichukua viti vyote 11 wakiwaacha vichwa chini viongozi wa ccm.
kulingana na matokeo ya jana manaake CHADEMA wameziteka ofisi za CCM baada ya mitaa iliyopo ofisi hizo CHADEMA KUSHINDA KWA KISHINDO, ofisi hizo ni pamoja na ofisi ya wilaya ya iringa iliyopo mtaa wa saba saba na ofisi za CCM mkoa..... kuona hiyo haitoshi pia OFISI ZA MKUU WA MKOA NAZO ZIPO CHINI YA MTAA WA CHADEMA.
Subiri hivyo hivyo na akili zenu za matope lazima mkimbiye
sogezeni sogezeni asilimia lakini hamtafika 84 zetu...
2015 wakati wa kutangazwa matokeo serikali iwe na ambulace za kutosha vinginevyo wafia chama kama msalani hawataiona christmas ya 2016