Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

Peter Msigwa
Vituo vyote nane vilivyobaki kata ya
mkwawa CHADEMA tumeshinda vyote, pia
kimoja zaidi kata ya kihesa, na kingine
kata ya MAKORONGONI. Yaan Leo maccm
tumeyapiga 10 bila majibu,
Kwa matokeo hayo tunajumla ya viti 64
kutoka kimoja 2009.
 
Yanga wanatafuta mchawi, vipi nyinyi?
Vija wote wa yanga wote ni ukawa vijana hawadanga nyiki tena hata wezi wote wakijiuzulu bado wezi watabaki kuwa wezi tu ccm ni chama cha majambazi aka wazee wakuchukuwa pesa kwa rumbesa huku akina watu wakifa kwa kukosa madawa
 
Wana janvi ile kauli mbiu ya ccm kuwa chadema ni chama cha wachaga hatimae imekufa kifo cha mende maana matokeo yame onesha kuwa chadema ni chama cha watanzania wote tizama usukumani,unyirambani,unyaturuni,waruguru,wahehe,wasangu,nk je wale wanao sema kuwa chadema ni chama cha wachaga watakuja na single gani tena?
 
Ndiyo uanze kutumia madawa ya mitishamba, mnaacha asili zenu wakati nchi zilizoendelea zinarudi kwenye madawa ya asili.
 
Peter Msigwa
Vituo vyote nane vilivyobaki kata ya
mkwawa CHADEMA tumeshinda vyote, pia
kimoja zaidi kata ya kihesa, na kingine
kata ya MAKORONGONI. Yaan Leo maccm
tumeyapiga 10 bila majibu,
Kwa matokeo hayo tunajumla ya viti 64
kutoka kimoja 2009.
kamanda naona kama uchaguzi wa ubunge tayari,umesha shinda,2015 ni kukamilisha tu
 
Matokeo ya uchaguzi tarime mjini kuna mitaa 81, kati ya hiyo mitaa bado mmoja matokeo yake hayajatangazwa. CHADEMA imeshida mitaa 51 CCM mitaa 28 NCCR mtaa mmoja(1).
 
Breaking news: Kimenuka wakurugenzi watano wamesimamishwa kwa kuvurunda kwenye Uchaguzi wa S/M.
 
Ndiyo uanze kutumia madawa ya mitishamba, mnaacha asili zenu wakati nchi zilizoendelea zinarudi kwenye madawa ya asili.
Vip nchi zilizo endelea viongozi wao wa umma nao huwa wanagawana pesa kwenye rumbesa na magunia!!
 
Rweye bado sijapata majina but habari za uhakika ni kwamba watano wamesimamishwa nikipata majina nitatupia hapa.
 
Last edited by a moderator:
Tena Iringa ndiyo usiseme, hilo ni jimba la uchaguzi la chadema, umesahau mbunge ni nani? hivi hizi shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
Siku zote mimi naona wewe ndo musomi na mjuaji kuliko watanzania wote. Nakupongeza sana, ndo maana mambo yoote uliyozungumzia kuhusu ESCROW ndivyo yalivyotokea. Hongera sana mama mimi nilisoma korahani tu na nikaongezea elimu ya ngumbaru.
 
Rweye hawa uteuzi wao umetenguliwa, Mkuranga, Kaliuwa, Kasulu, Serengeti, Sengerema na Bunda.

hawa wamesimamishwa ili wachunguzwe kwanini waliharibu uchaguzi, Hanang, Mbulu, Ulanga, Kwimba na Sumbawanga.

hawa wamepewa onyo kali, Rombo, Busega na Muheza.
 
Last edited by a moderator:
Wana janvi ile kauli mbiu ya ccm kuwa chadema ni chama cha wachaga hatimae imekufa kifo cha mende maana matokeo yame onesha kuwa chadema ni chama cha watanzania wote tizama usukumani,unyirambani,unyaturuni,waruguru,wahehe,wasangu,nk je wale wanao sema kuwa chadema ni chama cha wachaga watakuja na single gani tena?

cdm mbele kwa mbele,people's.. ..
 
Wafukuzane kila kona kama hawajuwi tafsiri ya nguvu ya umma ndio wataijuwa 2015
 
Ndiyo uanze kutumia madawa ya mitishamba, mnaacha asili zenu wakati nchi zilizoendelea zinarudi kwenye madawa ya asili.

Asante sana Jamiiforums.com kwa kuwepo kwako....vinginevyo ningekuwa nazunguza naye, mama huyu ana kwa ana....ningekuwa nimeisha fanya dhambi kwa kutenda kwa "kumg'oa jicho" .
 
Katuni%2BDec%2B17.jpg
 
Back
Top Bottom