Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

Picha zimeonesha na pia matokeo yanaonesha kuwa vijana wamedhamiria kuiondoa ccm madarakani.
 
mwanga mtaa wa Lwami CHADEMA 55, CCM 35
Mererani CHADEMA imeshinda mitaa 7 kati ya 8
Endulele kitongoji CHADEMA 170, CCM 130
Tuendelee kuhabarishana matokeo ya kila sehemu.
 
Hapa AR CCM Inaongoza Maeneo Ya Sanawar, Ilboru Na Kalolen. Makundi Mengi Ya Vijana Wamesambaa Babarani Na Kila Kona Jioni Hii. Hata Hivyo Bado Kura Bado Kura Zinaendelea Kuhesabiwa Ambapo Kwa Monekano Wa Sasa Chadema Ndicho Kinaongoza Maeneo Mengi Yaliyobakia.
 
Hii ni kali sana,yaelekea Kinana na Nape walifanya zero function hii ni WRITING ON THE WALL
 
huko ni makalioni ndio maana hakuendelei wamefungwa akili. waache waendelee na ccm, watakapo kustuka watatukuta sisi wenzao tupo karne nyingine kabisa.
 
Kwa taarifa ambazo nimezidhibitisha ni kwamba CDM imeshinda mitaa mingi manispaa ya Morogoro. Hii ni pigo kubwa kwa CCM. Hapa Mtaani kwetu Bong`ola pamoja na ccm kutoa pesa nyingi wamepigwa. Mtaa wa jirani wa kilakala CCM wamepigwa, bigwa wamepigwa mjini kati ccm wapepigwa. Vijana wanaimba Escrow! Escrow! Escrow!
 
Mwanamonga-Songea wameshinda Chadema
Mtaa mmoja wa kata ya Lizaboni wameshinda Chadema
Nimepita maeneo ya Mfaranyaki nikitoka mjini nikakuta CCM wakishangilia na bendera....Nadhani maeneo ya Buhemba CCM wameshinda.
 
Hao unaweza kuta shule,maji,hosp hawana lakin bado wamekamata tu ccm itakuwa misukule hiyo
 
Back
Top Bottom