Uchaguzi Mkuu 2020 : Mbowe , Mdee, Lema , Kubenea, Sugu , Lijualikali, Selasini, Lisu, Nasari, Msigwa, Heche, Bulaya ,Matiko watafute kazi za kufanya

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,561
Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!

Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.

Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.

Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!

Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.

Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.

2020 twende na CCM, twende na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafanikio makubwa ya CCM (by hook or by crook) ni kushinda uchaguzi tu. Baada ya hapo ndugu wananchi mtajijua na mtaisoma namba. Maendeleo ni kwa familia zetu tu viongozi wa thithiemu

Sent from my SHV-E330K using Tapatalk
 
Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!

Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.

Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.

Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!

Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.

Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.

2020 twende na CCM, twende na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana kuna mahali tunakosea
IMG-20190310-WA0000.jpg
 
Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!

Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.

Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.

Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!

Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.

Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.

2020 twende na CCM, twende na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie mama yako atafte kaz ya kufanya sio hao uliowataja.
 
Kama hujayaona mengi yaliyoibuliwa na upinza lazima utakuwa na" braindrain",na kwa taarifa yako tu ni kuwa hasira za 2020 hata 2015 ilikuwa ni trailer tu,utashangaa sana.
Kwanza hoja mulizolazimisha zilundikwe tu hamtaweza kuzijibu kwa miezi 3,na bao lile la kisigino mainj8nia wamenuna.
 
Panapo uwanja sawa wa mapambano, hizo kwako ni ndoto za alinacha. Halafu ndugu, nikuulize kama hoja ni kubaki jimboni all the time, niambie ni mbunge gani ambaye amebaki jimboni kwake na jimbo lake lina maendeleo kushinda mengine?
Nadhani issue sio maendeleo kuzidi majimbo mengine,issue ni wametekeleza walichoahidi kwa wananchi wao? Maana kila jimbo lina matatizo tofauti na jingine mkuu.

always positive
 
Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!

Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.

Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.

Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!

Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.

Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.

2020 twende na CCM, twende na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Fatma karume, Malisa e.t.c ni wabunge?? Kelele haziwezi kwisha maadam hamtendi haki.....
 
Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!

Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.

Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.

Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!

Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.

Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.

2020 twende na CCM, twende na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda useme polccm wakishindwa kupora kura. Kumsaidia mwixi wa phd. Tetesi mwizi wa phd anataka amkabithi yule Mr richmond aka malaya. Phd anaona aibu imetosha.
 
Wengi watapita na nnahisi upinzani utaongeza idadi bungeni na hatimae kuwa na wabunge zaidi kuliko chama tawala na pengine kuwa na Rais kutokea upinzani.

Wao wataamini hili?
Njozi za mchana kabisa hizi.Sijui umekula maharage na ugali.
 
Nafikri CCM mkibakia wenyewe pekee yenu tutaendelea sana? Usije wa dharau hao watu ni wa mhimu kuwepo bungeni kwa kusaidia kuifanya serikali iwe macho, na ifuate taratibu.
Siamini kama bwana mkubwa anania njema kuharibu upinzani ni WAJINGA PEKEE wazaniao kuwa hao wapinzani wasipokuwepo bungeni kutapatikana maendeleo angalau hata ya kuikaribia Uchina, narudia ni WAPUMBAVU tu wanao weza kufikri ati wapinzani wakiondolewa kutakuwa na kufuatwa sheria za kikatiba na maendeleo kupatikana.
Ni kweli hawatarejea bungeni kwa sababu tunajua yatakayo fanyika, tume yenu, watangazaji washindi wenu, polisi wenu, kila kitu chenu. Upinzani utakaoingia ni CUF Lipumba, UDP Cheyo, Chama cha Mzee Mrema lkn wapinzani wenye hoja watapitia wapi....?

CCM HOYEE......HOYEEEEEEEEEEE
矣月十戈

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wizi kupitia tume FAKE ya dikteta na dhalimu pale magogoni lakini kwenye uchaguzi huru na wa haki kupitia Tume HURU wote hao wanarudi mjengoni kwa ushindi wa TSUNAMI and then some. Hata pole pole analijua hili.Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!

Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.

Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.

Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!

Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.

Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.

2020 twende na CCM, twende na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ndio priority za ccm kuua upinzani

Na viwanda vitakua vimeshajengwa na kutema ajira, na hatutakua tegemezi wa budget kwa wahisani
 
watapita na nnahisi upinzani utaongeza idadi bungeni na hatimae kuwa na wabunge zaidi kuliko chama tawala na pengine kuwa na Rais kutokea upinzani.

Wao wataamini hili
Na hakika kungekuwa na time huru, na wasimamizi wa uchaguzi sio wakurugenzi ambao tuna uhakika ni wana c.c.m, wapinzani viti vingeongezeka bungeni....

Lkni kwa vile watatangaza matokeo kwa nguvu, mi ningelikuwa wapinzani wangeliacha turudi kwenye mfumo wa chama kimoja! Kwani nini?
 
Back
Top Bottom