Uchaguzi Mkuu 2020 : Mbowe , Mdee, Lema , Kubenea, Sugu , Lijualikali, Selasini, Lisu, Nasari, Msigwa, Heche, Bulaya ,Matiko watafute kazi za kufanya

Ifuteni Chadema kama mna ubavu
Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!

Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.

Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.

Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!

Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.

Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.

2020 twende na CCM, twende na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha kuwanga. Wanga wanawanga usiku na si mchana
 
Jinsi unavyoongea tu unaonekana wewe ni mlala hoi.

Kwa mtu mwenye;-
1. akili timamu sawasawa,
2. Mfanyabiashara
3. Mkulima hasa korosho
4. Mtumishi wa umma
5. Wanafunzi mtaani waliokosa ajira.

Hawezi kupuuza umuhimu wa upinzani nchini maana ndiyo pekee wanaogusa na kuwasemea matatizo yao pakubwa.

Wanaopuuza ni ninyi walala hoi msiojua kesho mtakula nini na mtaamka vipi.

Na ninyi ndio msiochangia chochote katika uchumi wa nchi hii maana mko walala hoi kazi yenu imebaki kutumika kama spika za wenye shibe na matumbo makubwa kwa ujira wa siku moja.

Na huo ujinga mtawarisisha vizazi na vizazi vyenu na kuwa maspika ya wenye shibe na viburi msipo badilika.

Pelekeni watoto shuleni waondoe ujinga.
Fanyeni kazi hata kama ya bustani upate ujira wako ukupe heshima na kuthaminiwa katika nchi yako.

Kipato kitasababisha Ulipe kodi na wewe uwe sehemu ya watu, kujitwisha uspika hauwezi kuthaminiwa nchi hii.

Uzao wako utakuwa wa vichaa kwa msongo wa mawazo juu ya maisha magumu.
Badilika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rubbish. Kwa hiyo wewe ndio unateuaga wabunge au bila ubunge hakuna maisha. Very Nonsense Indeed.
 
Pascal nikuulize swali .
Hao jamaa watapoteza ubunge wao kwa sababu wananchi hawawatakii au kwa sababu dola haiwataki ??!!. Na kama ni wananchi nani ana maamuzi ya wananchi ?! NEC !!. Na kama ni Dola ni kwa faida ya nani ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unawamulia wananchi kiongozi wanayemtaka wewe kama nani? kwakua mnavitegemea hivyo vipolisi njaa kuwalinda.
 
Ushindi wa CCM ni zaidi ya asikimia 98% mwaka 2020 watanzania hawapendi political hoes
 
Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!

Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.

Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.

Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!

Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.

Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.

2020 twende na CCM, twende na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hayo makelele wanapigia kwa mkeo wakati wako lumande,ccm hoye
 
Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!

Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.

Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.

Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!

Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.

Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.

2020 twende na CCM, twende na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo kubwa la Watanzania ni uelewa mdogo sana (Very low IQ) kuanzia wa-STD seven hadi ma-professor wote wana tatizo hilo hilo. Mtoa mada kwa sababu ya uelewa wako mdogo, huelewi maana ya vyama vya upinzani na kazi zake. Marekani ni nchi iliyo na maendeleo katika kila nyanja, lakini kuna vyama vya upinzani vinakosoa penye makosa
 
Imethibitishwa, umepokea Tshs. 7,000/= kutoka CCM Lumumba. Kilangila.
Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!

Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.

Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.

Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!

Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.

Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.

2020 twende na CCM, twende na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!

Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.

Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.

Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!

Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.

Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.

2020 twende na CCM, twende na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sugu atakuwa anasimamia gesti yake kule mbeya.
 
Back
Top Bottom