Uchaguzi Mkuu 2020 : Mbowe , Mdee, Lema , Kubenea, Sugu , Lijualikali, Selasini, Lisu, Nasari, Msigwa, Heche, Bulaya ,Matiko watafute kazi za kufanya

Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!

Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.

Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.

Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!

Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.

Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.

2020 twende na CCM, twende na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndio kikwazo cha viwanda na Uchumi wakati?
 
FB_IMG_1553666025618.jpg
FB_IMG_1553666025618.jpg

PHD holder anafanya mazingaombwe.kama mkate wako haupatikani moja kwa moja CCM...mtu kichaa ndio ataipenda CCM
 
Akili yako bwana Pascal itakuwa imekaa upande ukiunga mkono hoja kama hizi, inaonekana na wewe ukanda unakusumbua sana siku hizi, sema tu umeshindwa kuita press KUUNGA MKONO JUHUDI
It's only a matter of time before I do.
Soma tarehe ya bandiko hili kabla uone nilisema ninihttps://www.jamiiforums.com/threads/mgombea-wa-urais-kwa-tiketi-ya-ccm-2015-could-be-john-pombe-magufuli.707165/

Na baada tuu ya kuchaguliwa nilisema ninihttps://www.jamiiforums.com/threads/if-you-cant-beat-them-join-them-he-is-the-worst-dictator-lets-pray-for-him.964813/

Na sasa ninasema nini
https://www.jamiiforums.com/threads...hili-la-ccm-kutawala-milele-ni-kweli.1457535/
P
 
Wasiporudi utapata faida gani?
Bila upinzani ujiandae kununua mbuzi kwenye gunia.
 
Ujue nawashangaa sana hawa wajamaa eti ohh mkiwachagua hawa watu wapinzani tutawashangaa. Kama VIP vifuteni vyama vyote vya upinzani mmbaki nyie tu.sijui mtalumbana na nani tena kwani hampati usingizi na vichwa vinawauma juu ya upinzani viondoeni ili muwe huru na mambo yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!

Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.

Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.

Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!

Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.

Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.

2020 twende na CCM, twende na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watafanya nini ilihali wamezuiliwa kufanya kusanyiko lolote .huwezi kutoa msaada was maendeleo bila kuongea na wahusika lazima uongee nao upate kujua shida zao na makubaliano yakuwasaidia ifanyike VIP. Hata vikao vya ndani wanazuiliwa vikao vyao vya kawaida sasa we we kipofu wa akili ulitegemea maendeleo yaje VIP.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi watapita na nnahisi upinzani utaongeza idadi bungeni na hatimae kuwa na wabunge zaidi kuliko chama tawala na pengine kuwa na Rais kutokea upinzani.

Wao wataamini hili?
Umeibuka,umepewa Pesa Kama Mange
 
Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!

Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.

Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.

Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!

Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.

Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.

2020 twende na CCM, twende na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unahangaika sana
 
Bunge likikosa vichwa makini kutoka upinzani hilo siyo bunge tafuteni litaitwa jina gani maana mpaka hapa tulipo heshima ya bunge letu linatokana na wabunge wa kutoka upinzani.
 
Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!

Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.

Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.

Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!

Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.

Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.

2020 twende na CCM, twende na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Day light dreams
 
Back
Top Bottom