Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!
Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.
Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.
Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!
Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.
Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.
2020 twende na CCM, twende na Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app