Uchaguzi Mkuu 2020 : Mbowe , Mdee, Lema , Kubenea, Sugu , Lijualikali, Selasini, Lisu, Nasari, Msigwa, Heche, Bulaya ,Matiko watafute kazi za kufanya

Kina Kiongozi mmoja kinara wa Upinzani ambaye anakosoa kila kitu kuwa nchi haijafanya maendeleo yoyote ya Maana.

Jina: ........
Kazaliwa Katika Kijiji cha MAHAMBE
Kata ya UNYAHATI
Wilaya ya IKUNGI
Mkoa wa SINGIDA
Kasoma Shule ya Msingi ya MAHAMBE
Ni Mbunge wa ..............

Cha ajabu zogo lote alilonalo ukienda kijijini kwao Mahambe watu ni Masikini wa Kutupwa hawana hata Maji Safi na Mpaka leo wanatumia vyoo vya Mabua.

Sasa mtu aliyeshindwa kuhamasisha hata maendeleo kijinini kwao kweli ataweza kuyaleta nchi nzima?
 
Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!

Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.

Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.

Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!

Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.

Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.

2020 twende na CCM, twende na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ubongo ukiwa na mtindio ulichoandika ni sawa!
 
Ccm wanachowaza ni kuitawala tu Tanzania hata iwe miaka 1000 mbele. Wao chama ndiyo kipaumbele chao cha kwanza na siyo nchi na ustawi wa watu wake.

Yaani katiba ingekua inawaruhusu, wangewashurutisha watanzania wote wawe ccm ili tuwe tunajipanga barabarani na kwingineko tukiwaimbia viongozi wao mapambio ya kila aina. Hatushangai ufisadi ukiendelea kutamalaki na kuwa kitu cha kawaida ndani ya nchi yetu.

Ni vyema mkayaondoa haya mawazo yenu potofu kwa sababu tu ya huko kulewa kwenu kwa madaraka. Waacheni watanzania wajiamulie kumchagua mwakilishi wanayemtaka.

Hii nchi siyo mali yenu. Ni ya watanzania wote hivyo hayo maguvu yenu ya kutumia polisi, tume ya uchaguzi, makada wenu mliowapa dhamana isiyostahili, nk ili tu mlazimishe kuitawala Tanzania kibabe, ipo siku yatasababisha machafuko ya kujitakia.

Acheni tamaa. Tendeni haki kwa watanzania. Wanadam wana kikomo cha uvumilivu. Wakifikia hatua ya ukomo, hugeuka na kuwa wanyama.
 
Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!

Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.

Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.

Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!

Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.

Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.

2020 twende na CCM, twende na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm mtapata tabu sana!

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Kwa wizi kupitia tume FAKE ya dikteta na dhalimu pale magogoni lakini kwenye uchaguzi huru na wa haki kupitia Tume HURU wote hao wanarudi mjengoni kwa ushindi wa TSUNAMI
Kweli kabisa kamanda!! Mikurugenzi chichiem, na watatangaza kimaguvu!!!

That's why nasema 2020, sitapiga kura!
 
Ati kwamba wabunge wa upinzani hawajafanya kitu kwenye majimbo yao? Unafahamu kazi ya ubunge ni nini? Na kazi ya serikali ni nini? Nikusaidie kazi ya ubunge si kutoa mikopo kwa wanafunzi, si kujenga madarasa, si kuajiri watumishi, si kukuza biashara nk. Kazi ya ubunge ni kuwasemea wapiga kura wako bungeni na kuisimamia serikali. Kazi imefanywa vizuri mno na wabunge wa upinzani kuliko wa CCM.
Nakubaliana na wewe kuwa huenda wabunge wote wa upinzani wasirudi bungeni sababu zikiwa ni: CCM haiamini kura tena bali inaamini kubebwa na tume ya uchaguzi, inaamini polisi, inaamini kwenye kununua watu, inaaamini kuteka, inaamini vurugu na kupiga watu nk.
Natarajia kabisa siku ya kurejesha fomu Mbowe atakamatwa na polisi kwa sabsbu za uchochezi ataachiwa muda wa kurejesha fomu ukipita, Sugu mkurugenzi wa uchaguzi atajificha mpaka muda upite, Bulaya wakati wakuhesabu kura watakuja wasiojulikana na kubeba mabox ya kura mbele ya polisi na kupotea nayo, baadae watayarudisha na CCM itatangazwa mshindi wa 100%.. kwa Heche watabadilisha matokeo jukwaani na baada ya hapo atskamatwa kwa shutuma za kufanya fujo hakuna dhamana.
Halafu kuna vile vyama vya upinzani mamluki vitashashiwa viongozi wake wagombee ubumge kwenye majimbo yasiyozidi matatu. Na vitatangazwa vimeishinda CCM kwenye majimbo matatu, lakini basda ya muda mfupi wabunge wake watajiuzulu na kuunga mkono juhudi. Na hapo litatimia lile neno: 2020 hakutakuwa na upinzani.
Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!

Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.

Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.

Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!

Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.

Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.

2020 twende na CCM, twende na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kulijua hili kwanini tusiwe na tume huru ya uchaguzi? Hao wabunge wa Ccm wamefanya nini? Maisha ya mtanzania yameboreka kiasi gani toka serikali ya awamu ya tano iingie madarakani?
Tusiwe watu wajinga tusioweza kujipima wenyewe,chunguza watu kumi ulio karibu nao na wewe uwe wa 11 kisha tizama wamenufaika nini katika awamu hii kulinganisha na nyingine!! Maendeleo nilazima yaguse maisha ya watu hata hayati Mwl Nyerere alisema,
-tizama kipato chao,he kimekuwa?
-tizama furaha na amani waliyonayo.
-tizama maendeleo katika makazi/nyumba.
-biashara zimekua au mapenzi na kazi zao yameongezeka?
-mtizamo kimaisha,je wanalalamika sana au wameridhika kwa namna fulani.
-afya zao zimeimarika?wanakula vizuri?
-vipi uzalendo wao na ushiriki katika mambo ya kijamii?
-uwezo wao wa kununua bidhaa ukoje wanasonga vyema?
-wanajihisi kuwa huru na wanashirikiana na viongozi MF. DC,Rc nk.
-elimu na ufahamu vipi, teknolojia katika kazi zao MF. kilimo vipi?
Ukiacha uhayawani ukadadisi mambo haya na mengineyo utafahamu uongozi huu umetuinua au ni blah blah zakuhadaa watu kisa si wajinga saaana lakini ni wajinga!!!
 
Nafikri CCM mkibakia wenyewe pekee yenu tutaendelea sana? Usije wa dharau hao watu ni wa mhimu kuwepo bungeni kwa kusaidia kuifanya serikali iwe macho, na ifuate taratibu.
Siamini kama bwana mkubwa anania njema kuharibu upinzani ni WAJINGA PEKEE wazaniao kuwa hao wapinzani wasipokuwepo bungeni kutapatikana maendeleo angalau hata ya kuikaribia Uchina, narudia ni WAPUMBAVU tu wanao weza kufikri ati wapinzani wakiondolewa kutakuwa na kufuatwa sheria za kikatiba na maendeleo kupatikana.
Ni kweli hawatarejea bungeni kwa sababu tunajua yatakayo fanyika, tume yenu, watangazaji washindi wenu, polisi wenu, kila kitu chenu. Upinzani utakaoingia ni CUF Lipumba, UDP Cheyo, Chama cha Mzee Mrema lkn wapinzani wenye hoja watapitia wapi....?

CCM HOYEE......HOYEEEEEEEEEEE
矣月十戈

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na hayo lkn mambo hubadilika Mkuu. Hakuna sehemu kubwa ya watu wamepigika sana awamuhii ya tano. Hivyo hata wale policcm wakajikuta wanawasaidia wananchi kudai haki zao kwani hata wao ni shehemu ya waliopigika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchaguzi Mkuu 2020 : Mbowe , Mdee, Lema , Kubenea, Sugu , Lijualikali, Selasini, Lisu, Nasari, Msigwa, Heche, Bulaya ,Matiko watafute kazi za kufanya
Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.
2020 twende na CCM, twende na Magufuli.
Hivi punde, I have but some advice for you and that is, be careful what you wish for, you may receive it. Be careful what you set your heart upon for surely it will be yours.

Without opposition? Would you rather be in a vehicle going downhill with no brakes? Have you any idea how dangerous and stupid that would be? What's wrong with you people?

Remember the devil doesn't come in a red cape and pointy horns, he comes as everything you have ever wished for. So be careful of what you wish for because you will get it but even be more careful of what you work for because you will get it even more quickly.
 
Wengi watapita na nnahisi upinzani utaongeza idadi bungeni na hatimae kuwa na wabunge zaidi kuliko chama tawala na pengine kuwa na Rais kutokea upinzani.

Wao wataamini hili?
CCM JIBUNI HAYA:
1,Mlitegemea magufuli kuwa Rais wa nchi hii?
2,Mlitegemea Kassim majaliwa kuwa waziri mkuu?
3,Mlitegemea baada ya bunge la katiba,Mlitegemea Samia Suluhu utakuwa makamu wa Rais?
4,KAMA SHETANI ALIWEZA KUFANYA KUFANYA MIUJIZA HII YOTE,
JE MUNGU ANASHINDWA KUWAPA WAPINZANI UTAWALA WA NCHI HII,IKIBIDI HATA MIMI KUWA RAIS.
5,MNAMUAMINI SANA SHETANI ALIYEWAFANYIA MIUJIZA YA BAO LA MKONO KULIKO MUNGU ALIYE HAI?

Wacha Mungu wote baada ya kuingia ccm wameharibika,
1, Mama etu samia alikuwa mcha mungu,baada ya kuingia huko amekuwa tofauti kabisa. Kwa ujumla mmemchanganya,hajui anachoabudu.
2, Rudisha kumbukumbu,Marais wote wa zanzibar na makamu marais wanaotokea Zanzibar.
Kabla ya vyeo hivyo huwa watu mororo na wanyenyekevu kabisa,hata ukiwaangalia tu usoni utaliona hilo.
Wanaharibikia humor kwenye vyeo wanavyopewa na ccm.
Sisi wenye ufahamu mkubwa huwa tunawaona wakihangaika moyoni,kuwa sasa afanye lipi anamcha mungu na huku analazimishwa kufanya ya shetani!
Ndani ya uongozi wao wote huwa hawana AMANI, muda wa uongozi wao ukiisha utawaona wamefungua furaha na amani vimerejea nyusoni mwao.

WASIOMCHA MUNGU TUNAWAONA, WANAFANYIA WANANCHI MABAYA HUKU WAKIFURAHI
TENA WANATAKA HATA MUDA UONGEZEKE KUWEMO MADARAKANI.

Ccm jibu na hili,
Utamu mnaupata kufika kwenye chanzo gani?
a)kwenye madaraka?
b) ktk kuwafanyia wananchi na binaadam wenzenu mabaya hususan wapinzani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!

Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.

Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.

Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!

Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.

Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.

2020 twende na CCM, twende na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuuliza tu je hayo yakitokea wewe maisha yako yatabadilika kuliko yalivyo sasa? je maisha yako na hao uliowataja yatakuwa sawa wao wakikosa ubunge? jitahidi kufikiria hali halisi ya maisha yako yalivyo sasa na ujutie kwa kuwashabikia waliokufanya uwe na maisha magumu wewe familia yako na Ndugu zako kuliko kujadili ujinga huu uliouweka hapa.
 
Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!

Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.

Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.

Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!

Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.

Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.

2020 twende na CCM, twende na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
2020 HAKUNA UCHAGUZI,DOLA INAENDA KUTANGAZA MAJINA YA WATU INAOWATAKA TU ! NA SIO WATAKAOPATA KURA NYINGI ZA WANAINCHI.

MTU KUPANGA FOLENI KITUONI NI KUPOTEZA MUDA NA KUJITOA UFAHAMU CHINI RAIS ALIOPO SASA.

NAAM KWA USTAWI TAIFA NA DEMOKRASIA TWENDE NA BENARD KAMILIUS MEMBE 2020.
 
Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!

Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.

Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.

Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!

Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.

Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.

2020 twende na CCM, twende na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe ambaye syo mpinzani ni kipi ulichofanya jimboni kwako????

Ni nini tafsiri ya kuwa kiongozi wa kisiasa???

Wabunge wanakusanya kodi???

Umetumia akili ya ubongo au kinyeo katika hoja zako?
 
Akili za namna hii ,huwezi pata mahali pengine zaidi ya Lumumba.
 
Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!

Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.

Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.

Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!

Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.

Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.

2020 twende na CCM, twende na Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
hizo ni ndoto za mchana
 
Back
Top Bottom