Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,312
- 10,493
Hawezi!
Humu JF toka mwanzo kabisa kumejipambanua kama HOME OF GREAT THINKERS sasa kwa huu utahira nanyi ni ma_great thinkers? uzoba muacheLengo la JF Ni kuchangia maoni yetu sio ku assess akili Za member wenzako
Sio utahira andika UtaahiraHumu JF toka mwanzo kabisa kumejipambanua kama HOME OF GREAT THINKERS sasa kwa huu utahira nanyi ni ma_great thinkers? uzoba muache
Hivi sheria mpya inamruhusu kuhama na kugombea tena??Nasari anagombea tena kulitetea Jimbo lake kupitia CCM
PJoshua Nasari, Amejiunga Rasmi CCM, Kukabidhiwa Kadi Yake Pale CCM Lumumba Saa 4:00 Asubuhi Hii. Pia Pasco Mayalla Ajiunga Tukio Hili Kutangazwa Live. - JamiiForums
Wanabodi, Hatimaye ile sintofahamu ya mbunge machachari wa Chadema, Joshua Nasari, inamalizika rasmi asubuhi hii wakati atakapo jiunga rasmi CCM na kukabidhiwadi rasmi kadi yake, hivyo sasa Joshua Nasari anagombea tena kulitetea Jimbo lake kupitia CCM Siku zote mimi nimekuwa nikijinasibu...www.jamiiforums.com
Namshauri Nassari aende ccm akagombee tena jimbo hilo jilo

una wazo zuri. nadhani hata 2020Hizi nchi zetu zitazidi kuwa masikini! Haya mamilioni ya kurudia uchaguzi si yangejenga vyumba vya madarasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyani haoni kundule!Bashite njoo huku umekemea walezi umesahau wachapiaji wanatrend huku!
kaka ccm ikiamua hakuna suala la sheria wala sharia.. na sasa hici hali halisi ilivyo ccm ndio wanaamua nani awe mbunge na nani asiwe mbunge hakuna demokrasia hili lipo wazi asilimia zoteHivi sheria mpya inamruhusu kuhama na kugombea tena??
Wa sukumaland
Nasari anagombea tena kulitetea Jimbo lake kupitia CCM
PJoshua Nasari, Amejiunga Rasmi CCM, Kukabidhiwa Kadi Yake Pale CCM Lumumba Saa 4:00 Asubuhi Hii. Pia Pasco Mayalla Ajiunga Tukio Hili Kutangazwa Live. - JamiiForums
Wanabodi, Hatimaye ile sintofahamu ya mbunge machachari wa Chadema, Joshua Nasari, inamalizika rasmi asubuhi hii wakati atakapo jiunga rasmi CCM na kukabidhiwadi rasmi kadi yake, hivyo sasa Joshua Nasari anagombea tena kulitetea Jimbo lake kupitia CCM Siku zote mimi nimekuwa nikijinasibu...www.jamiiforums.com
Kwani mnakwenda kufanya uchaguzi au kupigana?Kama Ni sahihi hakuna shida. Ila haki itamalaki na ionekane ikitendeka vinginevyo mbunge wa Jimbo hilo ateuliwe na dola ili tusipoteze muda, pesa na uhai.
Sent using Jamii Forums mobile app