Hujuma zimeanza Ngeleja ameishachukua umeme ili kutunyima haki yetu ya kufuatilia uchaguzi kupitia JF...
Anyway ngoja niwashe iPAD yangu maisha yaendelee...
Eeeee Mungu sikia kilio cha wana igunga, zima majaribio yote ya uchakachuaji na ruhusu uchaguzi huru na wa haki.
Unapokuwa unafanya kaz na majizi ya kura mazoefu lazma unaishi kwa hofu kubwa na kwa machalemachale.ccm majiz mazoefu
Eeeh!! mkuu una I-Pad?.... haya bwana.Hujuma zimeanza Ngeleja ameishachukua umeme ili kutunyima haki yetu ya kufuatilia uchaguzi kupitia JF...
Anyway ngoja niwashe iPAD yangu maisha yaendelee...
Eeeee Mungu sikia kilio cha wana igunga, zima majaribio yote ya uchakachuaji na ruhusu uchaguzi huru na wa haki.
Kha Fidel upo Igunga? Leta habari zaidi
kila ninapozunguuka kituo hadi kituo hapa Igunga mjini naona wakina mama wengi wamejitokeza. na hali ni ya utulivu.
Hujuma zimeanza Ngeleja ameishachukua umeme ili kutunyima haki yetu ya kufuatilia uchaguzi kupitia JF...
Anyway ngoja niwashe iPAD yangu maisha yaendelee...
Eeeee Mungu sikia kilio cha wana igunga, zima majaribio yote ya uchakachuaji na ruhusu uchaguzi huru na wa haki.
duuuh! reporter wa mlimani tv kutoka igunga anasema watu wazima na wakina mama ndio wamejitokeza kwa wingi kupiga kura, vijana sio wengi kama walivyokuwa wakijitokeza kwenye mikotano, katika hali kama hii magamba wanaweza ibuka kidedea.
Halafu utalalamika hali ya maisha ni ngumu? Mashauzi yote ya nini?
Hii TV mmiliki wake ni Mengi? Naye c ametokea Machame kama Mbowe?
Ingekuwa ni TBC1 ungesemaje? Yaani kuna watu humu ndani wakisikia vijana wanalegea kabisa kama vile wanataka kunyongwa.Hii TV mmiliki wake ni Mengi? Naye c ametokea Machame kama Mbowe?
Nimeongea na jamaa yangu yupo kijiji cha ussongo. Anasema jana magamba wamagawa kijarida cha gazeti la uhuru bure lililokuwa limesheheni matukio ya vurugu zilizofanywa na chadema. Na tune niliyoipata ni kama inaweza kubadilisha mawazo ya wapigakura
ITV live wanalipoti vijana wameja kwenye vituo tofauti na chaguzi zote