Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
kila ninapozunguuka kituo hadi kituo hapa Igunga mjini naona wakina mama wengi wamejitokeza. na hali ni ya utulivu.
 
Hujuma zimeanza Ngeleja ameishachukua umeme ili kutunyima haki yetu ya kufuatilia uchaguzi kupitia JF...

Anyway ngoja niwashe iPAD yangu maisha yaendelee...

Eeeee Mungu sikia kilio cha wana igunga, zima majaribio yote ya uchakachuaji na ruhusu uchaguzi huru na wa haki.

dunia kijiji sasa hivi. labda wazime minara yote ya simu Igunga kama wanataka tusipate habari.

ama wazime satellite kabisa kama wana ubavu.
 
Unapokuwa unafanya kaz na majizi ya kura mazoefu lazma unaishi kwa hofu kubwa na kwa machalemachale.ccm majiz mazoefu

Unapodeal na CCM unakajifanya unadumisha amani na mshikamano, wao wanapita katikati ya umbumbu wako. Wale ni wanaharamu, tena mbaya zaidi wanajua hawapendwi isipokuwa na wajinga na masikini. CHADEMA jitahidini kula nao sahani moja tuone watapitia wapi.
 
Hujuma zimeanza Ngeleja ameishachukua umeme ili kutunyima haki yetu ya kufuatilia uchaguzi kupitia JF...

Anyway ngoja niwashe iPAD yangu maisha yaendelee...

Eeeee Mungu sikia kilio cha wana igunga, zima majaribio yote ya uchakachuaji na ruhusu uchaguzi huru na wa haki.
Eeeh!! mkuu una I-Pad?.... haya bwana.
 
Hujuma zimeanza Ngeleja ameishachukua umeme ili kutunyima haki yetu ya kufuatilia uchaguzi kupitia JF...

Anyway ngoja niwashe iPAD yangu maisha yaendelee...

Eeeee Mungu sikia kilio cha wana igunga, zima majaribio yote ya uchakachuaji na ruhusu uchaguzi huru na wa haki.

Halafu utalalamika hali ya maisha ni ngumu? Mashauzi yote ya nini?
 
duuuh! reporter wa mlimani tv kutoka igunga anasema watu wazima na wakina mama ndio wamejitokeza kwa wingi kupiga kura, vijana sio wengi kama walivyokuwa wakijitokeza kwenye mikotano, katika hali kama hii magamba wanaweza ibuka kidedea.

ITV live wanalipoti vijana wameja kwenye vituo tofauti na chaguzi zote
 
bila shaka hiyo 52 inawakilisha umri wako sidhani kama kijana wa umri wa kati na anayejitambua anaweza kuunga mkono CCM bila kuhusika na hujuma dhidi ya mali za wavuja jasho wa tz!! NI BORA JIWE LIONGOZE IGUNGA KULIKO MAGAMBA
 
Nimeongea na jamaa yangu yupo kijiji cha ussongo. Anasema jana magamba wamagawa kijarida cha gazeti la uhuru bure lililokuwa limesheheni matukio ya vurugu zilizofanywa na chadema. Na tune niliyoipata ni kama inaweza kubadilisha mawazo ya wapigakura
 
jamaa yangu mmoja ameniambia alipata hilo kazeti na halahala akalipeleka maliwatoni kwa kazi maalum
 
regina mwalekwa amemuhoji tundu lisu kuhusu hofu ya vijana waliohamasika ambao wanabakia ndani ya mita 100,hofu yake ni kwamba vijana hawa waliojitokeza kwa wingi wanaweza kuleta fujo.
 
Wa kushinda na ashinde,ha2taki fujo 2! Magamba=Magwanda= Mapupu nadhani mmeelewa
 
jana nilikutana na Prof Kahigi Mbunge wa Bukombe CDM,aliniambia bila machakachuzi Igunga inatwaliwa na CDM,na akanihakikishia kua vijana wamejipanga vya kutosha kulinda kura zao.Big up CDM,Peoplessssss.....!Powerrrr!!
 
Huna habari. Lala hapo Ilala si Igunga au unatumia ungo siku hizi kusafiria! Au mpo wawili au unaweza kuwa Dar na Igunga at the same time!

Masaburi weeee!
 
Status
Not open for further replies.
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom