Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura


Status
Not open for further replies.
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Messages
40,705
Likes
5,226
Points
280
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined Aug 31, 2009
40,705 5,226 280
Ahadi yangu ya kutembea uchi Magwanda ikishinda iko palepale
Ahahahahaaah!! Hatukufahamu tupe jina lako halisi, lakini magwanda wanaongoza katika vituo vitano mpaka sasa, matokeo ya awali.
 
Manyanza

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
4,438
Likes
23
Points
135
Manyanza

Manyanza

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
4,438 23 135
Cdm ikishindwa Livingstone Lusinde anywe sumu kama alivyo ahidi. akigoma akamatwe na kunyeshwa kwa nguvu, ili iwe funzo kwa walopokaji wengine ndani ya zzm hii kauli ili tukela wapenda maendelo.
sahihisho kidogo hapo ni CCM
Twende kazi mkuu..
 
Rutunga M

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Messages
1,644
Likes
347
Points
180
Rutunga M

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2009
1,644 347 180
channel ten live-Matokeo yameanza kutoka kwa mawakala wa vyama kupitia SMS
Reporter channel ten Tabora
 
Comi

Comi

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Messages
3,340
Likes
487
Points
180
Comi

Comi

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2011
3,340 487 180
Baadhi ya vituo vimeshamaliza kuhesabu kura ila bado wahusika hawajaruhusiwa kuyabandika
 
Laurence

Laurence

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Messages
3,106
Likes
41
Points
145
Laurence

Laurence

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2011
3,106 41 145
Mungu endelea kubariki mambo yaendelee hvyo hvyo kwa Cdm ili ushindi upatikane
 
G

Gamba Jipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
401
Likes
0
Points
0
Age
38
G

Gamba Jipya

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2011
401 0 0
Mambo safi sana maeneo ya vijijini...
 
Rutunga M

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Messages
1,644
Likes
347
Points
180
Rutunga M

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2009
1,644 347 180
Mtatiro wa CUF analonga channel ten kwamba waliojitokeza kupiga kura ni wachache sana,wanasubiri matokeo kutoka kwa mawakala
tatizo la watu kutojikoeza ni la serikali,watu hawana elimu ya uraia
 
Manyanza

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
4,438
Likes
23
Points
135
Manyanza

Manyanza

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
4,438 23 135
Alietoa ahadi ya kutembea uchi ni mwita25 wewe ni atiwm52, vipi ndugu wawashwa masaburi???/

haina haja ya kujibizana nae huyo ni Mwita 25 yaani mpaka anajichanganya anashindwa hata ku control ID zake...
 
Mshume Kiyate

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2011
Messages
6,773
Likes
33
Points
135
Mshume Kiyate

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2011
6,773 33 135
Startv wanapitisha matokeo chini ya tv
 
J

janja pwani

Senior Member
Joined
Jul 27, 2011
Messages
104
Likes
0
Points
0
Age
44
J

janja pwani

Senior Member
Joined Jul 27, 2011
104 0 0
Ni maneno yaliyotamkwa na paroko katika kanisa kubwa la hapa Igunga, Udini unalipasua taifa letu masikini!!!!!
 
Apolinary

Apolinary

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
4,726
Likes
69
Points
145
Apolinary

Apolinary

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
4,726 69 145
taja hilo kanisa magamba wewe
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,264,255
Members 486,220
Posts 30,177,446