Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
kudadadadeki.........wamekata umeme.

sasa nasikiliza redio kupitia simu.

kupata habari ni haki yangu ya msingi.

mapambano yanaendelea.

hapana,kupata habari si haki yako ya kimsingi tena ndio maana wamechukua umeme,,,,,,ila wao wanapenda kutuhadaa kwa kusema kuwa KUPIGA KURA NDIO HAKI YAKO YA KIMSING
 
Chonde chonde wana Igunga miaka 50 ya kudandanywa inatosha fanyeni maamuzi sahihi...Mungu ibariki tz
 
Kwa mujibu wa ITV Igunga ina hali mbaya ya kiuchumi. Hakuna maji. Hakuna miundo mbinu baada ya kuwa limekaliwa na CCM karibu miongo miwili. Sasa mtu unajiuliza huyu Rostam Aziz tunayembiwa na akina Faizal eti amefanya makubwa Igunga, kafanya nini? Kama hakuna maji. Hakuna barabara, yeye kafanya nini? Umefika wakati haya majizi yanayoutumia umasikini wa wananchi kujinufaisha yawekwe pembeni kupitia sanduku la kura.
 
CDM wamemkamata mpiga kura mmoja akitumia kadi ya marehemu. Anahojiwa.
 
itv wanaonyesha habari za igunga tbc wanaonyesha kipindi cha BANGO watu waliokufa.hii tbc ni upupu.wenzao itv wanakinukisha rakini wao kimya wakati wanajua watanzania wote macho na masikio yao yapo igunga.hii ni hatari.mia
 
Mie na mchina bana ipad nitaitoa wapi Rejao wewe?

Mchina wako umetulia..naona kitu via mobile.
Mods vp? mbona hawaweki kitufe cha like? Nashindwa kuugongea like mchina wako kwa kaz nzuri unaoifanya
 
kudadadadeki.........wamekata umeme.

sasa nasikiliza redio kupitia simu.

kupata habari ni haki yangu ya msingi.

mapambano yanaendelea.

Honestly tanesco wame nipendelea sana ingawa naishi uswahilini.
Ni kama week 3 sasa umeme umekatika jana saa3 usiku na ukarudi saa11.
Otherwise naenjoy tu,....
 
Sasa hivi ndio ninaenda kupiga kura baada ya kunywa chai.Nyie mliokuwa mnapiga kelele hapa njoon mpige kura sasa.NAKUUMIA SIRI KIDOGO NAKWENDA KUMPIGIA KAFUMU .WAKINA MAMA WANAFUNIKA HAPA IGUNGA MJINI KWA KUJITOKEZA KWA WINGI.CDM PRESHA JUU,WAMEGUNDUA VIJANA WALIKUA HAWAKUJIANDISHA.NIMEFIKA KITUONI NGOJA NIKAWAMALIZE CDM NINAHASIRA NA NYINYI...BADAE KIDOGO.

Unaenda kujimaliza wewe mwenyewe wala sio cdm..jidanganye manake una akili robo
 
Nyangasa anasena taarifa za jikoni huko huko ni kwamba Vijana wamejitokeza kwa wingi sana kupiga kura je ni kweli ?
Nyangasa Fatma Almasi yule wa ITV?Kama ni huyo kuja haja ya kuamini maana lazima ITV na Radio One watakuwa na wawakilishi wao kule Igunga, halafu mtu adanganye for the sake of what?
 
Peoplez power,itv wanasema watu ni wengi ila form namba 17 zinapungua na sehemu nyingine hawaruhusiwi kupiga kura kama umepnteza shahada hata kama jina lipo,hii ni kinyume na agizo la mkurugenzi.pamoja.
 
Wanaigunga fanyeni uamuzi wa busara. Msimchague mtu anayetoa rushwa, ni muuwaji wako mwenyewe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom