Uchaguzi 2025 itakuwa ni vita baina ya CHADEMA, CCM ya Samia na Muunganiko wa ACT Wazalendo na Sukuma Gang

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Hiki ndicho nachokiona na pia ndio nakisikia kwa habari za chini chini.

Hata hivyo, coalition ya SUKUMA GANG + ACT haiwezi kuwa na nguvu unless wangeihusisha CHADEMA, ila tatizo ni vigumu kwa SUKUMA GANG kuomba ushirikiano na CHADEMA kwa uhalifu waliofanya dhidi ya chama hiki wakati wa Mwendazake japo kwenye siasa wanasema hakuna adui wala rafiki wa kudumu.

Pia CHADEMA wawe makini kwani baadhi ya makamanda wanaweza kurubuniwa ili wahamie kambi ya ACT na SUKUMA GANG.

Wacha tusubiri muda utaongea.
 
CCM ina miezi michache sana kabla ya kugawana mbao .
 
2025 Bi. Mikopo atake asitake hatakuwa raisi wa Tanzania, full stop.
Na ndivyo itakavyokuwa. Kuna text inayotembea kwenye mitandao ya kijamii inayoonyesha nafasi za juu zilizoshikiliwa na na wanawake. Kati ya hizo wakuu wa mihimili mikuu miwili wamekuwa wakikosolewa zaidi. Wanasema hawana tofauti na single mother ambae ana watoto zaidi ya watu na Kila mmoja ana Baba yake.

Kwa vyo vyote vile wenzie watamuona kuwa kawadhalilisha. Hivyo kujitenga nae.

Wanasema kitakachofanyika ndani ya chama hakina tofauti na mtu anaetaka kumuua kobe. Lazima ifanyike timing.
 
Hiki ndicho nachokiona na pia ndio nakisikia kwa habari za chini chini.

Hata hivyo, coalition ya SUKUMA GANG + ACT haiwezi kuwa na nguvu unless wangeihusisha CHADEMA, ila tatizo ni vigumu kwa SUKUMA GANG kuomba ushirikiano na CHADEMA kwa uhalifu waliofanya dhidi ya chama hiki wakati wa Mwendazake japo kwenye siasa wanasema hakuna adui wala rafiki wa kudumu.

Pia CHADEMA wawe makini kwani baadhi ya makamanda wanaweza kurubuniwa ili wahamie kambi ya ACT na SUKUMA GANG.

Wacha tusubiri muda utaongea.
Tatizo la wanasiasa kila uchaguzi ukiisha ni kuanzia maandalizi ya uchaguzi ujao, chochote atakachofanya mwanasiasa kiwe Cha kijamii au maendeleo hulenga uchaguzi ujao. Chochote kisichohusiana na kumuweka mwanasiasa katika mazingira mazuri ya kushinda uchaguzi ujao hata kama ni muhimu kwa nchi hakitafanyika.
 
1642999220422.png
 
Back
Top Bottom