William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Thread starter
-
- #141
Ukisubiri hilo tobo lizibwe utasubiri sana na huwaga hakuna nchi ambayo imeweza kuliziba...kabisa???
Mimi nafikiri tatizo leetu ni masoko hivi yule mkulima kule kijijini kila mwaka kwake ni taabu? mathalani
a) Wakivuna sana yaani mwaka mzuri bei inapungua mkulima anakuwa maskini "anauza mazao mengi pesa kidogo"
b) Mwaka mbaya mavuno kidogo bei kubwa lakini " mazao machache" kwa hiyo wanaishia kupata kidogo
Tatizo letu ni la kiuchumi zaidi kuliko mengine..that is why I go for economic guru..Prof. Lipumba for presidency
Mkuu ndivyo uchumi unavyokwenda hata Ulaya mchezo ni huo huo.. Kumwezesha Mkulima ktk nchi ambayo inajaa Ufisadi ni swala gumu zaidi ya kutazama fedha na mavuno. Usifikirie mavuno kwanza kabla hujawatazama nguchiro na minyani inayovizia kila hatua ya ukulima kuharibu mazao. Kile kinachopatikana ni sehemu ndogo sana ya mavuno..Ukisubiri hilo tobo lizibwe utasubiri sana na huwaga hakuna nchi ambayo imeweza kuliziba...kabisa???
Mimi nafikiri tatizo leetu ni masoko hivi yule mkulima kule kijijini kila mwaka kwake ni taabu? mathalani
a) Wakivuna sana yaani mwaka mzuri bei inapungua mkulima anakuwa maskini "anauza mazao mengi pesa kidogo"
b) Mwaka mbaya mavuno kidogo bei kubwa lakini " mazao machache" kwa hiyo wanaishia kupata kidogo
Tatizo letu ni la kiuchumi zaidi kuliko mengine..that is why I go for economic guru..Prof. Lipumba for presidency
1. Dr. Slaa anafaa sana tena sana kuwa Rais wa taifa hili na anaweza kulitatua tatizo la ufisadi, kwa sababu kwanza yeye ndiye kiongozi wa kwanza Tanzania kutufumbua wananchi na kutufundisha kuacha uoga na kusema yanayotukera bila ya kuiogopa serikali tuliyoichagua wenyewe,
- Hili taifa tunahitaji kiongozi asiye muoga, anayeweza kusimama na kusema yasiyosemeka yaani maovu ya viongozi wetu wa juu, kiongozi anayeweza kuheshimika na viongozi wenziwe na hasa wananchi na hii ninaisema bila ya ku-complicate anything kuhusu skills za rais tunayemuhitaji, wakuu mkumbuke hii ni bongo sio majuu, huku tunahitaji kiongozi mwenye udikteta flani hivi kama wa Dr. Slaa, ninasema hivi huyu anafaa na achaguliwe katika nafasi yoyote ile atakayogombea tunamuhitaji sana kwa ajili ya masilahi ya taifa.
- Kule nyuma nimeona kuna mkulu mmoja amejaribu sana kumuuua Dr. Slaa, lakini katika maelezo yake yote sijaona mahali hata pamoja akisema Dr. Slaa ni mwizi na jambazi kama miviongozi mingi mijambazi tuliyonayo. Dr. Slaa anafaa sana kuwa Rais wa taifa hili.
2. Waziri Magufuli, sina uhakika na uwezo wake as a president, lakini sina wasi wasi kwamba anaweza nafasi yoyote chini ya u-Rais, hasa Waziri Mkuu anaweza kukemea na anaweza ubabe pia, unajua sisi wabongo bila kaubabe kidogo kama ka-Mrema hatuendi, huyu naye anafaa kwa sababu Rais atakuwa Dr. Slaa basi Takukuru itakuwa inafanya kazi inavyotakiwa, kwa hiyo mapungufu ya hawa kina Magufuli yatathibitiwa.
3. Ninasema kwamba, ufike mahali tuache maneno ya nonsense ya Rais kuwa na kofia mbili, kwa sababu kwa muda mrefu sasa nimekua nikifuatilia uwezo wa uongozi wa Wenyeviti wetu wa vyama vya siasa, nimegundua kwamba kiongozi Freeman Mbowe, ndiye pekee mwenye uwezo wa kuongoza taifa kama Mwenyekiti wa chama kinachotawala kwa sababu Freeman ana all the skills zinazotakiwa hasa kutokana na all the things he has done kuiweka Chadema pamoja, I mean can you imagine Freeman angekua Mwenyekiti wa CCM ya sasa?
The guy haogopi kusimamia interest za chama chake hata kama inabidi kuipindisha katiba, I do not like it lakini bado ninaheshimu uwezo wake wa kusimama mbele ya public na kusema wazi kwamba he has to what he has to do kwa sababu ya interest ya Chama at large na yuko radhi kuhukumiwa na Historia, maaan that is wasup! Kwenye hili ninawashauri wapinzani kama inabidi waunganishe vyama na kumsimamisha Dr. Slaaa, basi huyu Freeman Mbowe ni lazima awe Mwenyekiti wa hicho chama,
- Sina uhakika na uwezo wa Freeman as a president, lakini ninasema straight from my heart and soul kwamba the guy has what it takes kuongoza chama tawala cha siasa , na ninamu-admire sana kwa kuweza ku-acquire hizi skills in the process ya Uenyekiti wake wa chadema, anayoyafanya ndio hasa yanayotakiwa kufanywa na Mwenyekiti wa chama cha siasa, na hasa bongo.
FMES, Mkuu wangu nimekusoma tena leo hakika umefungua ukurasa mpya kabisa wakupima watu na sii kwa vyama, sura ama itikadi zao na hakika umelenga pale penye hili donda la utovu wa viongozi.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikipima sana Mbowe ktk uwezo wake kuongoza kama mwenyekiti cha Chadema na kusema kweli nilikuwa na wasiwasi mkubwa kwa sababu namfahamu Mbowe personal. Tumekuwa sote, hivyo hata sii ajabu hata yeye hawezi kuamini mengi toka kwa Mkandara huyu wa JF na yule amjuaye akiwa pale Club.
Mbowe anaweza kukiongoza chama lakini ngoma kubwa Kitaifa nadhani sii swala la uwezo wa mtu kuongoza chama au itikadi fulani ila sasa hivi nachelea kusema ni wakati wa kuwaibua Viongozi ambao watakuwa na maamuzi makubwa ktk mustakabali wa Taifa letu. nashindwa kuiweka nafasi ya Mbowe kwa sasa hivi kwani Utabiri wangu unaonyesha wazi kwamba nafasi ya Mbowe ipo mwaka 2015 baada ya kuwaondoa Mafisadi. .
Mkandala,
Nakubaliana na wewe asilimia 100%, Dr. Slaa akisimama na muungwana, 2010 kweli patachimbika. Watafutwe wazee wa busara wa upinzani na hata wa CCM waliochoshwa na mambo yalivyo, wakamshauri Dr Slaa agombea kama mgombea pekee wa upinzani atakayemkabili JK.
Wakati huo jimbo lake la Karatu tunaliwekea caveat ya kijana loyal wa Chadema ambaye atakuwa dispensable incase bid inagoma, Chadema wanamdispanse na Dr. anarudi Karatu kwenye by election na kurejea mjengoni ambapo 2015 itakuwa sasa ni for sure.
- Wa-Tanzania siku zote tuna tatizo moja kubwa sana, nalo ni kushindwa kutumia resources tulizonazo kwa faida yetu, hili tumeliruhusu mpaka kwenye kuchagua viongozi wetu wa taifa, tunalia wee! halafu ukija uchaguzi tunaanza maneno ya oooh experience!, oooh hana elimu! oooh kijana mdogo hajakomaa! ooh mzee,
Mkuu naona mjadala huu una umuhimu sana kutujulisha sote hawa watu ambao wanapigana vikumbo kuwa viongozi ni kina nani ili kama tutaamua kudharau ukweli uliopo basi tuendelee kujililia wenyewe.- Wa-Tanzania siku zote tuna tatizo moja kubwa sana, nalo ni kushindwa kutumia resources tulizonazo kwa faida yetu, hili tumeliruhusu mpaka kwenye kuchagua viongozi wetu wa taifa, tunalia wee! halafu ukija uchaguzi tunaanza maneno ya oooh experience!, oooh hana elimu! oooh kijana mdogo hajakomaa! ooh mzee,
- Ninasema Tanzania tunao watu ambao wakipewa nafasi wanaweza kuumaliza ufisadi in one month, I mean Mramba na Yona walipoenda Rumande kama Rais wetu angeshikilia pale pale na kukusanya na wengine wallahi huu mzizi wa ufsadi by now ungekua kalasi!
- Ninasema hivi regardless ya impact ya mjadala huu kwa taifa, atleast wananchi watasutwa na nafsi zao kila watakapopingana na mawazo yetu kuhusu nani anafaa na nani hafai kuhusu uongozi bora wa taifa letu, ndio maana leo ukiweza kufukua BCS na mwanzo wa JF, utagundua hakuna jipya yote tuliyasema mapema sana, sasa ni uamuzi wa wananchi kutusikiliza au kuwasikiliza mafisadi, lakini tutasema wazi viongozi wanaotufaa na wasiotufaa kwa masilahi ya taifa letu.
Respect.
FMEs!
Omary mtu wako bora kabisa toka tukiwa udsm tukisoma alikuwa ni Salim Ahmed Salim...............na wale watakaokuwa wakifanana nae na si vinginevyo.salam.Hivi ina maana humu ndani wote mnakubaliana na mtizamo kuwa TANZANIA NI UFISADI na UFISADI NI TANZANIA?
Naamini ili kuepeka kupata bora mbadala na kuwa na mbadala makini ni muhimu kuwachambua hao MASIHA tunaowatafuta kwa vipimo makini zaidi kuliko "ujemedari wao" katika "masuala" tunayopambana nayo sasa, kuwachanganua kwa undani zaidi katika vigezo kama vifuatavyo:
Misingi ya utaifa na uongozi? (PRINCIPLES)
Nidhamu binafsi na nidhamu za kiuongozi (ETHICS)
Misingi na misimamo ya kiitikadi (Ideology)
VISION kwa taifa letu na bara letu la Afrika
Upeo wake katika masuala ya kitaifa na kimataifa?(EXPOSURE)
Busara za kiuongozi na mapenzi kwa anaowaongoza?
Mtizamo wake na heshima yake kwa misingi ya KIDEMOKRASIA
Usafi wake katika masuala tunayopambana nayo sasa kama vile UFISADI
Na mengineyo...
omarilyas
GS, sio lazima mtu afe, unamtafuta mgombea loyal anacoverup ili jimbo lisiende CCM, Slaa akikosa, jamaa anaresign, by election inamrudisha Dr. Bungeni.[/COLOR]
Pasco
Nakubaliana na wewe pamoja na Mkandara kwamba Dk Slaa agombee Urais nex year Ila sijakuelewa hapo nilipoweka red,by election itatokeaje?do you want somebody afe kwasababu ya hii Move?Naomba nifafanulie
.Ndugu yangu Pasco! Nini kimekufurahisha hapa? napenda kujua msimamo wako
Hivi ina maana humu ndani wote mnakubaliana na mtizamo kuwa TANZANIA NI UFISADI na UFISADI NI TANZANIA?
Naamini ili kuepeka kupata bora mbadala na kuwa na mbadala makini ni muhimu kuwachambua hao MASIHA tunaowatafuta kwa vipimo makini zaidi kuliko "ujemedari wao" katika "masuala" tunayopambana nayo sasa, kuwachanganua kwa undani zaidi katika vigezo kama vifuatavyo:
Misingi ya utaifa na uongozi? (PRINCIPLES)
Nidhamu binafsi na nidhamu za kiuongozi (ETHICS)
Misingi na misimamo ya kiitikadi (Ideology)
VISION kwa taifa letu na bara letu la Afrika
Upeo wake katika masuala ya kitaifa na kimataifa?(EXPOSURE)
Busara za kiuongozi na mapenzi kwa anaowaongoza?
Mtizamo wake na heshima yake kwa misingi ya KIDEMOKRASIA
Usafi wake katika masuala tunayopambana nayo sasa kama vile UFISADI
Na mengineyo...
omarilyas
Mkuu naona mjadala huu una umuhimu sana kutujulisha sote hawa watu ambao wanapigana vikumbo kuwa viongozi ni kina nani ili kama tutaamua kudharau ukweli uliopo basi tuendelee kujililia wenyewe.
Ni naona ni vema tukayaona majina unayofikiria na kwanini unafikiria hivyo hili mijadala iwe katika kuona uwezo halisi wa kila mtu kama kiongozi. Lakini kwa bahati mbaya huko nyuma hiyo ilikuwa kazi ya state na baada ya compromise ya value za uongozi ndio hivyo tena kila mtu amekuwa kiongozi.
Omary mtu wako bora kabisa toka tukiwa udsm tukisoma alikuwa ni Salim Ahmed Salim...............na wale watakaokuwa wakifanana nae na si vinginevyo.salam.
Salim amekuwa PM baada ya kifo cha Moringe Sokoine, hivyo alikuta hali ya ufisadi ni tambarare kabisa baada ya ile safisha ya wahujumu wa uchumi, Salim had nothing to show.- Wakuu hebu tuwekeeni record ya Dr. Salim na hasa kuhusu vita vya ufisadi, je anayo record?
Respect.
FMEs!