Obama is intellectual and inteligent and so is Lipumba..OK
Jmushi1,
Mkuu Tumain ni kibaka, anachofanya anawasubiri mkiingia ndani ya maji kuogelea anachukua nguo zenu na kukimbia.. Hivyo mnapomfukuza mtu kama huyu mnatimiza azma yake yaani nyie ndio muonekane wendawazimu. Anaandika yote haya makusudi kabisa akijua mtakuja juu..Bakia na mada endelea kuogelea kama vile hakukutokea kitu, achana naye wapo wengi tu hingia mkenge huu.
.
Statement za 'You Lie' ni conclusive, don't make conclusive statement on anything/anyone unless you are sure what you are talking, si ungeniuliza nifafanue, hii ya kutuita watu wazima na heshima zetu waongo, unatuvunjia heshima bure.
Mawazo yako umejitahidi...lakini acha kutoa mapofu twende hoja kwa hoja?Kuna watu wana mielekeo ya tofauti pale inapokuja kuona kwamba ni nani anafaa kuwa rais,mathalan vigezo vyetu vinatofautiana kutokana na misimamo yetu mbalimbali dini ikiwa ni mojawapo.Uzuri hapa JF kama ilivyo kwenye jamii yetu,kuna watu wa tofauti na hao niliowamention...Ambao maslahi ya Taifa ni mbele kama ilivyoainishwa na mleta mada.
Pia kwangu binafsi naamini ushauri kutoka kwa aliye mpinzani wako ni wa kinyume,kwa mfano Masatu ambaye ni CCM aliposema kuwa Slaa hafai kuiwakilsha CHADEMA ama upinzani,utashangazwa sana kuwa yeye kama mpinzani wa CHADEMA ametumia vigezo gani ambavyo vina malengo ya kuwatakia mema wapinzani ama CHADEMA.
Vile vile na wewe kama mpinzani wa ukristo pamoja na CHADEMA sioni ni kwa vipi utachukizwa na hatua ya Padri kuachana na upadri ilhali hata ukristo wenyewe hauuamini,ni bora utafute vigezo vingine kwasababu huyo Mungu unayedai aliapa kumtumikia hata wewe haumuamini,so no double standards please kama wewe ni great thinker.
Na madai kwamba aliasi CCM na kwenda CHADEMA,je Lipumba aliasi nini?Kwanza si alikuwa mshauri wa Rais wa uchumi na uchumi uko wapi?N si ni juzi tu wamekubaliana sijui nini na CCM?
Mwisho uspende kujikesha kwa issue za kipuuzi,huwezi kumwita Slaa "Mropokaji" halafu unajichekesha,unamchekea nani wakati ni upuuzi kumwita mtu anayepigania maslahi ya Taifa "Mpayukaji?"
Humu ndani kuna great thinkers na pia very dangerous minds,wewe ni mwana CUF ambaye ni mpinzani na una guts za kusema list of shame speech ilikuwa ni upayukaji?
Ama kweli kuishi kwingi....
Kuna watu wana mielekeo ya tofauti pale inapokuja kuona kwamba ni nani anafaa kuwa rais,mathalan vigezo vyetu vinatofautiana kutokana na misimamo yetu mbalimbali dini ikiwa ni mojawapo.Uzuri hapa JF kama ilivyo kwenye jamii yetu,kuna watu wa tofauti na hao niliowamention...Ambao maslahi ya Taifa ni mbele kama ilivyoainishwa na mleta mada.
Pia kwangu binafsi naamini ushauri kutoka kwa aliye mpinzani wako ni wa kinyume,kwa mfano Masatu ambaye ni CCM aliposema kuwa Slaa hafai kuiwakilsha CHADEMA ama upinzani,utashangazwa sana kuwa yeye kama mpinzani wa CHADEMA ametumia vigezo gani ambavyo vina malengo ya kuwatakia mema wapinzani ama CHADEMA.
Vile vile na wewe kama mpinzani wa ukristo pamoja na CHADEMA sioni ni kwa vipi utachukizwa na hatua ya Padri kuachana na upadri ilhali hata ukristo wenyewe hauuamini,ni bora utafute vigezo vingine kwasababu huyo Mungu unayedai aliapa kumtumikia hata wewe haumuamini,so no double standards please kama wewe ni great thinker.
Na madai kwamba aliasi CCM na kwenda CHADEMA,je Lipumba aliasi nini?Kwanza si alikuwa mshauri wa Rais wa uchumi na uchumi uko wapi?N si ni juzi tu wamekubaliana sijui nini na CCM?
Mwisho uspende kujikesha kwa issue za kipuuzi,huwezi kumwita Slaa "Mropokaji" halafu unajichekesha,unamchekea nani wakati ni upuuzi kumwita mtu anayepigania maslahi ya Taifa "Mpayukaji?"
Humu ndani kuna great thinkers na pia very dangerous minds,wewe ni mwana CUF ambaye ni mpinzani na una guts za kusema list of shame speech ilikuwa ni upayukaji?
Ama kweli kuishi kwingi....
Well nani kasema wako wachache? hapa tunaongelea wagombea urais 2010 potential candidate! one of them is Prof. Lipumba..he is intellectual and intellegent..compared to other folks!Kama that's your comparison then we have many "Obamas" in Tanzania. By the way did you know Benjamin William Mkapa was also intellectual and inteligent?
To be honest to my fellow country man and women,
Dr. Slaa hafai kuwa rais wa Tanzania kwasababu zifuatazo:-
1. Ni MUASI:-
a)Aliasi kanisa katoliki alipoacha u-padre akaja kwenye uraia kwakuwa tunajua kwamba kuwa padre unaapa kumtumikia Mungu milele..sasa mtu aliyemuasi mungu wake atashindwa kutuasi sisi kama taifa..no trust this guy whatsoever..
b) Aliasi CCM baada ya kutochaguliwa kwenye chama chake akakimbilia Chadema ambako ndipo alipo sasa..anaendeleza utaratibu wa kuasi nafikiri ni hulka yake..I don't trust this fellow...
2. Hatari ya kuvunja umoja wa kitaifa na Amani
a) Huyu bwana aliwahi kuwa katibu wa Wakatoliki je ameacha kutumikia kanisa? je hamuoni kwamba atakuwa bias sana kwa jamii ya kiislamu ya Tanzania? kwasababu ya historical backround sioni kama ana mvuta kwa pande zote za jamii zetu kwa hivyo ni hatari kwa umoja wetu..!!!
b) Kama katibu mkuu wa chadema hawana hata mwenyekiti wa kijiji huko zenj...na sioni kama kuna juhudi zozote za kufanya hivyo..damn nionavyo mimi hana interest na zenj kwasababu ya malezi ya kikanisa??does it make sense??? kuwa rais wa Jamhuri NO NO.
3. Ni Mbabe na Mjeuri..
Mimi namuona kama mtu ambaye hakuwezi kutengeneza relations na watu wanaofanya naye kazi..ni type ya kina sumaye na mramba...na kauli zake zinazihirisha hivyo...zaidi ya yote anafaa aendelee kuwa mpayukaji huko upinzani kuliko kiongozi wa kitaifa lol
Tuendelee kumfukua zaidi kabla ya kufanya kosa kubwa sana kumuweka huyu jamaa hafai kabisaaaa!
Pinda huyu ambaye ni Waziri Mkuu sasa?
Kauli zako na masimango ya upinzani vinaashiria wewe ni CCM dam dam.Hiyo kadi ya CCM ulinipa wewe?
Mkandara,Jmushi1,
Mkuu Tumain ni kibaka, anachofanya anawasubiri mkiingia ndani ya maji kuogelea anachukua nguo zenu na kukimbia.. Hivyo mnapomfukuza mtu kama huyu mnatimiza azma yake yaani nyie ndio muonekane wendawazimu. Anaandika yote haya makusudi kabisa akijua mtakuja juu..Bakia na mada endelea kuogelea kama vile hakukutokea kitu, achana naye wapo wengi tu hingia mkenge huu.
Kwanza nakubaliana na wale wote wanaojaribu kujadili source ya matatizo ya Tanzania and principal problems ni UMASIKINI NA UJINGA(au ukosefu wa elimu). Inabidi kufahamu matatizo tuliyonayo kwanza kabla ya kutafuta kiongozi (RAIS) ambaye atatatua hayo matatizo.
Ni kutokana na UJINGA na UMASIKINI, ndiyo maana watanzania wanaendelea kuichagua CCM kila kukicha. Ukifanya utafiti utagundua kwamba waTanzania wengi wenye elimu ya angalau Chuo Kikuu (Genuine Degrees) si mashabiki au wanachama wa CCM kwa sababu wanaupeo wa kutosha kuelewa kwamba CCM na viongozi wake ndio chimbuko la matatizo ya Taifa letu.
Ni kutokana na UJINGA na UMASIKINI, ndiyo maana waTanzania wanashindwa kuungana kwa sauti moja na kudai KATIBA mpya ambayo ndiyo ingefungua milango ya kusimikwa institutions za uhakika za kulinda maslahi ya Taifa na kuzuia na kupambana na ufisadi na uharamia mwingine wowote ambao umekuwa ukifanywa na kulindwa na CCM.
Ni kutokana na UJINGA na UMASIKINI, ndiyo maana watu kama Rostam Aziz wanapata jeuri na kiburi cha kuifisadi Tanzania whenever they get an opportunity. Kama waTanzania tusingekuwa wajinga na maskini, tusingekubali kuhadaiwa na huyu m-burushi na kumpa nafasi ya kufanya uhaini anaoufanya ndani ya Tanzania.
Ni kutokana na UJINGA na UMASIKINI, ndiyo maana CCM kama chama bado kinaendelea kutetea maslahi ya CHAMA kabla ya maslahi ya TAIFA. Na inabidi kujiuliza, maslahi ya CHAMA kwa hakika ni maslahi ya nani? Rostam Aziz? Jakaya Mrisho Kikwete? Kwa hakika si maslahi ya WATANZANIA.
Kwa hiyo, ili kuondokana na UJINGA na UMASIKINI, inabidi tuondokane na CCM. Kwa kifupi, UJINGa na UMASIKINI wa waTanzania ndiyo mtaji mkubwa wa CCM na kwa maana hiyo CCM kama chama, hakiwezi kuondoa matatizo hayo mawili hata siku moja. Suluhisho la matatizo hayo mawili, ni kupata RAIS wa nchi kutoka kwenye vyama mbadala. Vyama ambavyo vinalenga kupambana na UJINGA na UMASIKINI. CHADEMA na CUF vinaweza kutoa uongozi unaoweza kupambana na matatizo hayo. NCCR-MAGEUZI, TLP, TADEA et al, ni extensions za CCM kwa hiyo sitegemei kupata mtu serious kutoka vyama hivyo.
Tuendelee na mjadala..........
Asante kaka tuendelee na mjadala...wa kitaifa ila msiweke upofu wenu wa kupenda kupita kiasi hata tukiwaambia slaa ni mpayukaji siwezi kumchagua, niko seriously skeptical na kazi yake ya kanisa kama muislam..msinibatize majina ya oh huyu ccm,fisadi, kibaka etc..lets go on..Tumain,
Duh mkuu wangu mimi nakusoma tu, dada yangu humwezi, hana mvuto labda akubake yeye..Samahani sana sikuwa na maana ya Ubakaji huo hata kidogo ila wa maneno..Ni lugha tu nimeitumia ktk kubaka mazungumzo yaani unalazimisha watu kwenda kule wasikotaka kwenda..
FMES, hapo nipo nawe 100% kwani pasipo kuwa na malengo hatuwezi kupata kiongozi bora kwa kutazama degree za watu, Utajiri ama uwezo wao kuchapa kazi.. Mahala penye Corruption ni sawa na mirija alokuwa akiipiga vita mwalimu, haijalishi utakuwa na uwezo gani kinguvu kujaza pakacha maadam kuna tobo kila unapoweka tatu, mbili hudondoka...Formula hii haiwezi badilikai hata ukitumia Robot! Kinachotakiwa kwanza ni kuziba tobo hilooo tobo - UFISADI.
Ukisubiri hilo tobo lizibwe utasubiri sana na huwaga hakuna nchi ambayo imeweza kuliziba...kabisa???FMES, hapo nipo nawe 100% kwani pasipo kuwa na malengo hatuwezi kupata kiongozi bora kwa kutazama degree za watu, Utajiri ama uwezo wao kuchapa kazi.. Mahala penye Corruption ni sawa na mirija alokuwa akiipiga vita mwalimu, haijalishi utakuwa na uwezo gani kinguvu kujaza pakacha maadam kuna tobo kila unapoweka tatu, mbili hudondoka...Formula hii haiwezi badilikai hata ukitumia Robot! Kinachotakiwa kwanza ni kuziba tobo hilooo tobo - UFISADI.