Elections 2010 Uchaguzi 2010: ITV sasa imekuwa chombo cha CCM?

Kwani ukiwa mwanachama wa CCM na vyombo vyako vya habari vinakuwa wananchama wa CCM vile vile? Havitakiwi kuwa OBJECTIVE?

Kama kuna EVIDENCE kwamba viongozi fulani wameiba mali ya umma, au wamekutwa na nyara za seriakli, na wewe ukaamuru magazeti yako au TV yako iwapigie kampeni, basi wewe ni FISADI.

Kama Mengi angeipenda Tanzania kweli basi angeagiza vyombo vyake vya habari viwe OBJECTIVE.

It's time to boycott Mengi's papers, radio and TV. Ni vyombo vya mafisadi.

Ndiyo maana fisadi mwenzake RA alimvika cheo cha FISADI NYANGUMI, hawa wote wanastahili kupigwa risasi kwani ufisadi wao umesababisha maafa kwa mamilioni ya watz
 
Pia nasikia alitoa mamilioni kuianzisha Jamii Forums.
Niliposoma madai kuwa mengi siyo mwema kama anavyoonekana,kupitia maandiko ya mwl.mkuu wa watu,sikuelewa.sasa nimekubali kuwa mzee huyu ni mnafiki mkubwa.magazeti na tv zake ni wapenzi wa kampeni za mafisadi.kumbe kweli mbwa mwitu huvaa ngozi ya kondoo
 
unajua tatizo la mengi ni kuona mbowe anaheshimika na watu wa kilimanjaro kushinda yeye nasikia hii inamuuma sana
 
No comment, lakini i dont like Mengi kwa sababu he fools masikini wetu kwa kujifanya kula nao chakula.
 
Huyo mengi huwa akipata shida anakimbilia kwetu wananchi tumuonee huruma, kumbe yeye hana huruma na sisi! So why should we shake hand with a clenched fist?
 
Mnajua RA na Mengi wote ni wanachama wa CCM, inawezekana wameamua kuweka tofauti pembeni wafanya biashara ! Nikiwa na maana kwamba RA ameingia kwenye deep pocket kuinunua IPP media. Si unajua pesa ilivyo mwana haramu?
 
Umafia upo kwenye MEDIA za Tanzania. Ukiingalia wachambuzi wao, hasa TBC1, ITV na Channel 10 utangundua kuwa wako Bias na wanapendelea Sisiemu. Habari za Vyama vingine zaidi ya CCM zinatolewa kiaina huku kejeli zikichomekwa kiaina. Waandishi hawa wanaliua Taifa bila kujua kuwa ndugu zao na wao wenyewe ni sehemu ya Taifa hili.

Imefika wakati, Vyama vingine viongeze juhudi ya kumiliki vyombo vya habari zaidi ya magazeti ili kupanua wigo wa mapambano.

HAKI HUINUA TAIFA.
 
umeona kweli nakumbuka mengi anahaa na Waziri Kijana Kutaka kumfilisi kumbe ndo anakula nao tu anatufisadi wadanganyika lakini mara hii hatudanganyiki tena
 
Unadhani ni rahis kwa watu km alivyokuwa jerry muro kukataa fedha za epa?.........................bado wapo wengi ila sijui mzee mengi yuko wapi siku hizi ni km yuko likizo vile kidogo alikuwa balkanced sana kwenye issue za kitaifa lakini km itv wamefikia hap[a
 
Back
Top Bottom