Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Hivi owners wa hii migahawa wamelewa wateja au kitu gani?
au ndio washawaweka watu wa Afya wa JIJI kwenye payroll?
au ndio washawaweka watu wa Afya wa JIJI kwenye payroll?
Na mifumo yetu ina matatizo, mtu kama bwana afya kama tunavyomuita pesa anazolipwa kama mshahara wake vina dhalilisha hata hiyo taaluma yenyewe ya afya. Matokeo ya hiyo pesa mbuzi anayolipwa kazini ndiyo inayo mfanya akubali kirahisi kuingizwa kwenye payroll isiyo rasmi na matokeo yake madhara yanarudi kwa wateja.yote mawili yanawezekana!! afu hao the so called maafisa wa afya ni wapuuzi sana, hawafanya kazi yao vizuri pesa mbele na wanawaonea wengine amabo hawana makosa ya kutozwa faini!!! (lakini ndo style yetu anyway, ona tfda na tbs)
<br />lol! kuna siku nilikuwa napata msosi flamingo restaurant pale jnia, mende akawa anapanda ukuta pembeni yangu. nikamuita mhindi,nikamuambia thanks for this bonus! lilimshuka shuuu! namuonesha jinsi chini ya meza (kitako cha round) kulivyogina uchafu, na waitresses wakitoa uchafu mezani wanaweka kwenye ornamental plants! bongo ndo tunapata immunity kwa huu uchafu aisee!